sema hakyamungu!!!
hakyamungu. Leo pia yamenikuta.
wewe husninyo mchokozi sana hebu nipe contact tuonane uone kama nitakuwa sikuangalii machoni
Tatizo wewe ulikuwa unategemea hilo litokee ndo maana uka notice..
Kwa mantiki hiyo umeshiriki kwa namna moja au nyingine kuyahamishia macho ya huyo mtu sehemu tajwa hapo juu,, Lol
mimi nikisalimiana na mtu nampa mkono namwangalia usoni. Kama tumekutana tu njiani tunaweza kuongea huku tumeshikana mikono na usoni nakuangalia hivyo inakuwa rahisi kuona uelekeo wa macho yako..
halafu leo najisikia kujibu maswali yako tu.lol.Haya Bana, ingawa bado nimebaki na maswali ngoja nikae kimya...
halafu leo najisikia kujibu maswali yako tu.lol.
Kisa cha kunipania hivyo?
Sasa hebu niambie, ni kwa nini Jeikei hakumtazama machoni mdada wa kwenye picha?
Je unachokidhani wewe dhidi yetu sisi wanaume, kinaweza kuwa ndicho kilichopelekea macho ya Mhishimiwa kwenda arijojo?