budebajr
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 385
- 232
ahsante ili neno!Issue hapo sio kitanda tu, yaani tukio zima ni laana tupu, hata kama ungeenda kulala naye mtaroni , bado laana ipo pale pale ,
Wanando vaeni uaminifu, pete mzigo jamani
Well saidLaana ya zinaa ni laana tu hata kama zinaa hiyo imefanyika chumbani kwenu, jikoni, bafuni, kwenye gari, guest house au hata kama wamekwenda Dubai au Hong Kong kufanya hiyo zinaa, bado laana iko pale pale.
Kitendo cha Mume au Mke kufanya ngono na mtu mwingine iwe ni mahali popote pale, hiyo inakuwa tayari ni laana. Haijalishi zinaa hiyo imefanyika wapi. Mawazo ya zinaa hutoka ndani ya roho ya mtu, hivyo anayefanya zinaa huichafua roho yake mwenyewe na siyo kitanda.