Hivi kweli hii ni haki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?
 
Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?
Mnawaza ujinga kila kukicha ....sasa mtu mliyejuana ukubwani wewe inakuaje ...unamuonea wivu ...kama sio ujinga.
 
Hatari hyo mkuu
 
Attachments

  • FB_IMG_15256909848294861.jpg
    46.7 KB · Views: 56
Hebu tuelenze chanzo cha hiyo laana. Itakuwaje kama ni huyu beki tatu nimemsomesha akakubali. Unataka twende kule kwenye chumba cha watoto waje kutusema kwa mamaa?? Nadhani vilaana vingine mnavi fabricate humu humu tu.
 
Mnawaza ujinga kila kukicha ....sasa mtu mliyejuana ukubwani wewe inakuaje ...unamuonea wivu ...kama sio ujinga.
Kuna wivu, adabu na heshima kila kitu kina sehemu yake.
 
Mimi ni muumini wa misimamo binafsi na kujitambua(kujua nini unataka na kuheshimu kitu unachokitaka)

Kumekuwa na dhana potofu kuwa “SEX” imekuwa rahisi sana kupata siku hizi la hasha kwani tangu kuumbwa kwa ulimwengu haikuwahi kuwa ngumu kupata mtu wa kufalaluana nae

Tatizo linaanzia katika familia zetu watu kutokulia katika mazingira ya kujiheshimu,kuheshimu na kuwa na misimamo ya kila wanataka au kupata

Watu wamekuwa watumwa wa maisha ya kimtandao,watumwa wa stori za vijiweni na saloon na zaidi wamekuwa watumwa wa tamaa zao wenyewe

Hakuna siku mtu/akili itakwambia sasa basi hawa uliobanjuana nao wanatosha au ukipata mnene yeye atatosha kabisa au yule mwenye miraba minne ndio zaidi

Love Yours
 
Pole sana mkuu naww tafuta mchapuko mwende sawa
 
Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?
Laana ya zinaa ni laana tu hata kama zinaa hiyo imefanyika chumbani kwenu, jikoni, bafuni, kwenye gari, guest house au hata kama wamekwenda Dubai au Hong Kong kufanya hiyo zinaa, bado laana iko pale pale.

Kitendo cha Mume au Mke kufanya ngono na mtu mwingine iwe ni mahali popote pale, hiyo inakuwa tayari ni laana. Haijalishi zinaa hiyo imefanyika wapi. Mawazo ya zinaa hutoka ndani ya roho ya mtu, hivyo anayefanya zinaa huichafua roho yake mwenyewe na siyo kitanda.
 
Issue hapo sio kitanda tu, yaani tukio zima ni laana tupu, hata kama ungeenda kulala naye mtaroni , bado laana ipo pale pale ,

Wanando vaeni uaminifu, pete mzigo jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…