Akilala na mama yake ni kawaida tu kisa ni mwanamke kama mke wake?Me naona fresh maana anaye lala naye ni mwanamke kama wewe
Mnawaza ujinga kila kukicha ....sasa mtu mliyejuana ukubwani wewe inakuaje ...unamuonea wivu ...kama sio ujinga.Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?
Na chuma huliwa na kutuCha mtu huliwa na mtu.
Laana ya zinaa ni laana tu hata kama zinaa hiyo imefanyika chumbani kwenu, jikoni, bafuni, kwenye gari, guest house au hata kama wamekwenda Dubai au Hong Kong kufanya hiyo zinaa, bado laana iko pale pale.Umueoa au umeolewa, tunajua Mungu hapendi zinaa lakini kwa akili ya kibinadamu umepata mchepuko. Mine/mke amesafiri unauketa ndani. Mnalala kwenye marital bed, hii jamani si laana?