Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

Naunga mkono hoja. Kuna nyimbo nyingi sana ndani na nje ya Tz ambazo zimebamba kiafrica hadi dunia, ambazo mtaani zinapigwa yani Hit song
ila ukiingia Youtube viewers 500k
kama Wimbo wa burna boy anybody una viewers milioni 21 kwa miezi7 umehit worldwide na hauchoshi viewers wakawaida sana kwa ukubwa wa hio ngoma.
sidhani kama viewers wana mata sana labda kwenye hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnajidanganya Tu viewer ni mhimu Sana kuhit worldwide , akina davido wanagonga mpak viewers 💯 mil , Justin Bieber anagonga viewers mpak 3bill , YouTube wenyewe huwa wanazipush Ngoma zinazotambaa sana watu weng wanawekewa kama recommend ...

Endeleeni Kujidanganyana sasa na view zenu laki tatu , konde boy Hana platform ya kufanya Ngoma zake ziende , yupo alone , Hana much support , anatoa Ngoma back to back ambazo ni normal Sana na nying zinakuwa ignored , mastermind wa hv vitu bongo nzima na Africa anajulikana ni salaam sk huko aliko konde boy hamna kitu , aendelee Tu kucheza twist japo kipaji anacho...
 
wakuu bila kupoteza muda nomba niweke mtazamo wangu hapa naruhusu kukosolewa
Huyu kijana toka ametoka kundini kabadilika kwa Mambo mengi sana ambayo kimsingi yanaua mziki wake

Ipo ivi alipo kua anatoka WCB alishawishiwa na watu wenye nia ya kufanya nae kazi wakiwa na imani watafaidika kulingana na umaarufu na mafanikio aliyo jozolea mwaka 2019 hapa kilicho tokea ni yeye kujiona mkubwa sana na hiki ndicho kilichopo kwenye habari za chini chini kua anakiburi na dharau kwa manager wake uyu anae jiita jembenijembe na uyo mwingine anae jiita mjerumani ni mtu wa kupenda ubinafsi sana hapa tayari anatengeneza mkanganyiko kwa watu muhimu walio nyuma yake na hii kitu inashusha muziki wake

Mapenzi ya mashabiki alivyo ondoka Cristian Ronald real Madrid aliondoka na kundi kubwa sana la mashabiki walio unfollow page ya real Madrid na ku follow page ya Juventus hii ni kwasababu ya mapenzi na ushawishi wa Ronald nirudi kwa msanii HARMONIZE yeye Kama yeye hakuwa na ushawishi mkubwa sana kuliko diamond plutnumz ko kuondoka kwake kundini si kwamba kaondoka na idadi kubwa sana ya mashabiki hapana hivyo yy Kama yy kapoteza idadi kubwa ya watu waliokua wanampenda diamond na mapenzi yao kuhamishia kwa wasanii wake akiwemo HARMONIZE ko kijana kapoteza kundi kubwa mno hivyo kusababisha kuyumba kimziki

Matarajio clouds tv & radio efm radio &etv walitarajia kua ndio wamefanikiwa kupata mtu wakumpoteza diamond plutnumz hivyo wakaanza kuhamishia majeshi kwa HARMONIZE ili amshushe mondi Kama mjuavyo clouds ni wazee wakusoma upepo wameona kwa mmakonde akuna kipya cha kumtingisha mondi wamepunguza majeshi yao ata yule dada wa ala za roho atapoa tu na yeye
Efm wenyewe sizani Kama wataendelea kutumia nguvu nyingi tena kwa mamakonde Kama walizo tumia kwenye show yake ya mtwara kwao

WCB wao wanajitahidi sana kusaport wasanii wao na ku wa brand leo hii ndo matokea haya tunayo yaona
Diamond plutnumz
Reyvan
Mbosso
Lavalava
Qeen dareen
Mama dangote
Esma
Na wengine wengi sana wana support kazi za wasanii wao
Uje kwa HARMONIZE
Yeye anao
Jembe ni jembe
Mjerumani
Clouds
Efm
Josemipango
Chopa na wengine wengii
Ukiangalia kwa HARMONIZE clouds bado wanataka utawala hivyo awawezi muacha awe mtawala
Efm wako busy na singeli zao
Mjerumani jembe ni jembe chopa Jose wa mipango sio wakubwa sana kusema wana mchango mkubwa sana kwa HARMONIZE
Mwazo alipo jitoa ametembelea nyota aliyo toka nayo saizi anarudi kwenye uhalisia wa maisha yake bila WCB

Maisha yake ndo aya 1m anatafuta kwa wiki moja adi miezi na collaboration na mtu Kama mr izy
tapatalk_1581617874019.jpeg
tapatalk_1581617880098.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kua dogo kapoteza mvuto sana sio kidogo izi mambo za kutoa nyimbo kabla aijaisha nyingine mtaani unapandisha na nyimbo nyingi ni majungu zinampoteza msanii ambae fanbase bado Mondi anachojisifu ata akitoa nyimbo mbovu ana fanbase kubwa na diehard fans, Harmo amesahau Aslay alivyotamba 2017-2018 baada ya kutoka yamoto band now akitoa nyimbo watu wanaona kawaida tu coz washamjua anaimba aina gani sasa Mmakonde wetu anarudia strategy ya Aslay anasahau anatrend now kwakua hakuna wasanii wenye fanbase kubwa walioachia ngoma, kiba akitoa ngoma 1 on trending anamtoa sasa kama Vanny anatoa kideo sku 3 tu 1M amegusa konde anatafuta kwa tochi.

Sema Muda ndio jibu tosha tusubiri tuone tusimtabirie mabaya maana anataka achia albamu yake ya kwanza inaweza fanya vzr

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unapoint.((zikitoka HIT huyuu jamaa watu watamsahau))

ila kwenye kampeni atapiga hela.

Na kashaombewa ubunge na mkuu.
 
Ukweli ni kua dogo kapoteza mvuto sana sio kidogo izi mambo za kutoa nyimbo kabla aijaisha nyingine mtaani unapandisha na nyimbo nyingi ni majungu zinampoteza msanii ambae fanbase bado Mondi anachojisifu ata akitoa nyimbo mbovu ana fanbase kubwa na diehard fans, Harmo amesahau Aslay alivyotamba 2017-2018 baada ya kutoka yamoto band now akitoa nyimbo watu wanaona kawaida tu coz washamjua anaimba aina gani sasa Mmakonde wetu anarudia strategy ya Aslay anasahau anatrend now kwakua hakuna wasanii wenye fanbase kubwa walioachia ngoma, kiba akitoa ngoma 1 on trending anamtoa sasa kama Vanny anatoa kideo sku 3 tu 1M amegusa konde anatafuta kwa tochi.

Sema Muda ndio jibu tosha tusubiri tuone tusimtabirie mabaya maana anataka achia albamu yake ya kwanza inaweza fanya vzr

Sent from my iPhone using JamiiForums
Muda utaongea ila dalili ya mvua ni mawingu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia watu wanapenda muziki mzuri, kwasasa utunzi wake hauvutii, nyimbo zinajirudia maneno hata mitindo ya kuimba nk. Anapaswa awe makini sana
 
tusubiri muda uongee, ila kwa mtazamo wangu harmonize anatakiwa apambane zaidi ili aendelee kubaki kileleni, maana takwimu tayari zimeshaanza kusadifu kuporomoka kwa harmonize kimuziki.

kingine pia ameishi kisanii kumkopi diamond, hana identity yake mwenyewe.
ni sawa na k2ga anavyomkopi Alli kiba muda huu
 
Back
Top Bottom