Hivi kweli Dkt. Nshala yupo uhamishoni?

Hivi kweli Dkt. Nshala yupo uhamishoni?

Manapata wapi ujasiri wa kumkosoa rais kwa matusi vile??ona sasa Nshala naye anaishi kama digidigi
 
Ni aidha alipewa hela ndefu akaambiwa ajiepushe na suala la bandari, ama alipewa vitisho vya kupotezwa. Maana ukimya wake sio wa kawaida. Sasa tusubiri kwa Mwabukusi naye tuone kama atamudu shinikizo la majizi. Mdude sina shaka naye, yeye anamudu figisu za dola.

[mention]Tindo [/mention] endelea kuushabikia uongozi huu mana ule uliopita uliushambulia na umeendelea kuushambulia hata sasa. Nao huu usiache kuupongeza mkuu
 
[mention]Tindo [/mention] endelea kuushabikia uongozi huu mana ule uliopita uliushambulia na umeendelea kuushambulia hata sasa. Nao huu usiache kuupongeza mkuu
Kwani kipimo changu cha ubora wa uongozi huu ni ule uliopita wa dhalimu? Sijawahi shabikia uongozi wowote wa CCM. Lakini najua ule wa dhalimu ulikuwa ni takataka zaidi.
 
Vita haipiganwi kwa mbinu moja. Wakati wauaji wakipanga mauaji, wengine walibaki, Nshala akaondoka na kukimbilia nje. Wakati wengine wanapambana nyumbani, Nshala anaijulisha Dunia juu ya uchafu na uharamia wa Serikali ya Tanzania.

Human Rights Watch, tayari wametoa tamko. Itafuata European Union, US na Taifa moja moja. Misaada ya kibajeti inaenda kukoma, mikopo nafuu inaenda kukoma, wawekezaji wakubwa makini hawatagusa nchi yenye utawala wa kiharamia. Safari za Ulaya na Amrmerica zinaenda kusimama. Atabakia kuzurura Uarabuni na China, na Urusi, kama atataka.
Hahahaaa!
JamiiForums1848829586.jpg


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Unauliza muuaji!! Ni huyu anayewabambikia watu kesi za uhaini. Hukumu ya mhaini ni kifo. Japo hatafanikiwa huo ushetani alioupanga, lakini huyu mama ameonesha hamu ya kutaka kuua.
La bandari hanyongwi mtu , na bandari haziendi popote, mnafikili wote walioserikalini ni vichaa, mtakuja niambia niko pale
 
Back
Top Bottom