Si wanaagiza tu ufungwe basiSi unaona upepo wa uhaini wanavyobatizwa watu? Unajua adhabu ya uhaini wakiamua kuwapata na hatia?
Wanaomfahamu wanasema huwa hayumbishwiNi aidha alipewa hela ndefu akaambiwa ajiepushe na suala la bandari, ama alipewa vitisho vya kupotezwa. Maana ukimya wake sio wa kawaida. Sasa tusubiri kwa Mwabukusi naye tuone kama atamudu shinikizo la majizi. Mdude sina shaka naye, yeye anamudu figisu za dola.
Kamuulize Mwambukusu,Slaa,Lema,Lisu na MdudeMimi nilijua yupo kwenye mambo yake binafsi
Leo usiku naambiwa alikimbia kuuawa?
Nani alitaka kumuua(kumwita)Dr nshara "witu"
Naomba wajuvi mtujjuvue dhidi ya ili.
Ni kweli, je ataweza kutoyumbishwa baada ya kupewa kipigo? Hapo alipo hayuko kwenye mazingira ya mahakama ambapo msimamo wake ni dhabiti, bali yuko mazingira ya kipigo na kudhalilishwa. Kwenye hilo bado atakuwa dhabiti. Je umemuona tena wakili Nshala kwenye sakata la bandari?Wanaomfahamu wanasema huwa hayumbishwi
Mwambusi ni public figure hawezi kumpiga, kwani Mbowe ulisikia amepigwa? Nshala yupo nje kwenye matibabuNi kweli, je ataweza kutoyumbishwa baada ya kupewa kipigo? Hapo alipo hayuko kwenye mazingira ya mahakama ambapo msimamo wake ni dhabiti, bali yuko mazingira ya kipigo na kuhakikishwa. Kwenye hilo bado atakuwa dhabiti. Je umemuona tena wakili Nshala kwenye sakata la bandari?
Unauliza muuaji!! Ni huyu anayewabambikia watu kesi za uhaini. Hukumu ya mhaini ni kifo. Japo hatafanikiwa huo ushetani alioupanga, lakini huyu mama ameonesha hamu ya kutaka kuua.Ni aidha alipewa hela ndefu akaambiwa ajiepushe na suala la bandari, ama alipewa vitisho vya kupotezwa. Maana ukimya wake sio wa kawaida. Sasa tusubiri kwa Mwabukusi naye tuone kama atamudu shinikizo la majizi. Mdude sina shaka naye, yeye anamudu figisu za dola.
Mbona kichwa chako cha habari hakiendani na ujumbe wa habari?
Mimi nilijua yupo kwenye mambo yake binafsi, leo usiku naambiwa alikimbia kuuawa? Nani alitaka kumuua (kumwita) Dkt. Nshala "witu"?
Naomba wajuvi mtujuvue dhidi ya hili.
Vita haipiganwi kwa mbinu moja. Wakati wauaji wakipanga mauaji, wengine walibaki, Nshala akaondoka na kukimbilia nje. Wakati wengine wanapambana nyumbani, Nshala anaijulisha Dunia juu ya uchafu na uharamia wa Serikali ya Tanzania.Ni kweli, je ataweza kutoyumbishwa baada ya kupewa kipigo? Hapo alipo hayuko kwenye mazingira ya mahakama ambapo msimamo wake ni dhabiti, bali yuko mazingira ya kipigo na kuhakikishwa. Kwenye hilo bado atakuwa dhabiti. Je umemuona tena wakili Nshala kwenye sakata la bandari?
Hao wote ulio wataja kama maslahi yao hayajaguswa huwez wasikia wakifanya/sema loloteVita haipiganwi kwa mbinu moja. Wakati wauaji wakipanga mauaji, wengine walibaki, Nshala akaondoka na kukimbilia nje. Wakati wengine wanapambana nyumbani, Nshala anaijulisha Dunia juu ya uchafu na uharamia wa Serikali ya Tanzania.
Human Rights Watch, tayari wametoa tamko. Itafuata European Union, US na Taifa moja moja. Misaada ya kibajeti inaenda kukoma, mikopo nafuu inaenda kukoma, wawekezaji wakubwa makini hawatagusa nchi yenye utawala wa kiharamia. Safari za Ulaya na Amrmerica zinaenda kusimama. Atabakia kuzurura Uarabuni na China, na Urusi, kama atataka.
Du yupo nje kwa matibabu tena? au washampiga Pollonium 210Nshala yupo nje kwenye matibabu
Mkuu sio kwa polisi hawa wa Tanzania, si ndio walimvunja Lipumba mkono? Katika kitu polisi wetu wanaona sifa ni kupiga watu kwasababu hawana logic.Mwambusi ni public figure hawezi kumpiga, kwani Mbowe ulisikia amepigwa? Nshala yupo nje kwenye matibabu
Mara moja moja huchangia kupitia club houseNi kweli, je ataweza kutoyumbishwa baada ya kupewa kipigo? Hapo alipo hayuko kwenye mazingira ya mahakama ambapo msimamo wake ni dhabiti, bali yuko mazingira ya kipigo na kudhalilishwa. Kwenye hilo bado atakuwa dhabiti. Je umemuona tena wakili Nshala kwenye sakata la bandari?
Mimi nilijua yupo kwenye mambo yake binafsi, leo usiku naambiwa alikimbia kuuawa? Nani alitaka kumuua (kumwita) Dkt. Nshala "witu"?
Naomba wajuvi mtujuvue dhidi ya hili.
Hawezi, mbona hawajawahi kumpiga Mbowe wala Lissu? kwa sisi watu wa hali za chini wanakupiga balaaMkuu sio kwa polisi hawa wa Tanzania, si ndio walimvunja Lipumba mkono? Katika kitu polisi wetu wanaona sifa ni kupiga watu kwasababu hawana logic.
Nasikia lakini sina hakikaDu yupo nje kwa matibabu tena? au washampiga Pollonium 210