Hivi kweli dawa ya UKIMWI itakuja kugunduliwa?

Hivi kweli dawa ya UKIMWI itakuja kugunduliwa?

Dunia itataabika kivipi mkuu?
kwani kabla ya kuja gonjwa hilo dunia ilitaabikaje?
Ikipatikana dawa watu hawatakuwa na hofu juu ya ukimwi hivyo kiwango cha uasherati kitaongezeka sana , ni bora isipatikane kabisa dawa hiyo ili tuendelee kuishi kwa hofu juu ya ugonjwa huo.
 
Hata kama yapo maradhi yalitikisa lakini si kama UKIMWI, yalisumbua lakini
hatimaye dawa ilipatikana..... Shuguli ipo kwenye UKIMWI, mara utasikia
dawa imegunduliwa Hispania, USA n.k kwa sasa nimesikia tetesi za dawa hiyo
kugundulika nchini ISRAEL lakini mwisho wa siku ni kimya.

Au kuna watu wanamaslahi na hili Janga hivyo wanazuia juhudi zote za kupatikana
kwa dawa hii?
Vipi wataalamu wa Tanzania wamewahi kufanya juhudi yoyote?


mwone alhaji yahya jamme wa gambia
 
Kuna Dr khalili anatoka USA ndo pekee ambae ana Tumaini la asilimia mia moja kuleta dawa ya kutibu kabisa HIV na amehaidi itamchukua miaka mitatu tu kufikia hitimisho hii ni baada ya kuleta njia yake inayoitwa "cell editing" ambayo inakata cells zilizoathirika na kuzitupa nje afu zinatoka kama kinyesi then automatically zile cells zilizobaki zinajitibu after weeks zinajiunga tena na kirusi anakuwa kadhibitiwa na hayupo tena mwilini.

Ila USA big pharma wanamfunga speed gavana na kuna tetesi alitaka kuuwawa ili watu waendeleze biashara zao za kuuza madawa n.k.

Ila kwa sasa kuna Tumaini kubwa juu ya Tiba ya ukimwi zingatia hata wanasayansi wamethibitisha virusi kupoteza makali yake na kuna bunch of people wanakiri kupona kabisa HIV baada ya local and spiritual way of healing. Kuna watu 67 kutoka uganda waliponeshwa na Dada mmoja raia Korea bure kabisa kwa njia ya Skype huyu Dada ni hatari sana.

Kansa, kisukari, Ebola n.k hivi ndo vya kuhofia maana ni deadly na vinaua kwa muda mfupi saana ila HIV inakuja kuwa kama malaria ilivyosumbua kipindi chake.

Sex shouldn't be a death sentence. Lol!
 
Kuna Dr khalili anatoka USA ndo pekee ambae ana Tumaini la asilimia mia moja kuleta dawa ya kutibu kabisa HIV baada ya kuleta njia yake inayoitwa "cell editing" ambayo inakata cells zilizoathirika na kuzitupa then automatically zile cells zilizobaki zinajitibu after weeks zinajiunga tena na kirusi anakuwa kadhibitiwa.

Ila USA big pharma wanamfunga speed gavana na kuna tetesi alitaka kuuwawa ili watu waendeleze biashara zao za kuuza madawa n.k.
Ila kwa sasa kuna Tumaini kubwa juu ya Tiba ya ukimwi zingatia hata wanasayansi wamethibitisha virusi kupoteza makali yake na kuna bunch of people wanakiri kupona kabisa HIV baada ya local and spiritual way of healing. Kuna watu 67 waliponeshwa na Dada mmoja kutoka Korea bure kabisa.

Kansa, kisukari, Ebola n.k hivi ndo vya kuhofia maana ni deadly na vinaua kwa muda mfupi saana.
Mkuu ahsante sana kwa maelezo mazuri
 
Hata kama yapo maradhi yalitikisa lakini si kama UKIMWI, yalisumbua lakini
hatimaye dawa ilipatikana..... Shuguli ipo kwenye UKIMWI, mara utasikia
dawa imegunduliwa Hispania, USA n.k kwa sasa nimesikia tetesi za dawa hiyo
kugundulika nchini ISRAEL lakini mwisho wa siku ni kimya.

Au kuna watu wanamaslahi na hili Janga hivyo wanazuia juhudi zote za kupatikana
kwa dawa hii?
Vipi wataalamu wa Tanzania wamewahi kufanya juhudi yoyote?
Subiri ,,kuna dawa imetengenezwa na prof Abraham loyta muisrael ktk Hebrew university ,, amefanikiwa kugundua Protin aina ya Gammora ambayo kwanza huvuruga cells zote zilizoshambuliwa napili huzuia kirusi kuingia ktk sell nyingine hapa kirusi kinabak kua kirusiLESS ,,namwishowe huisha .

Hypothesis yake,, alipandikiza dawa iyo ndan ya dam yenye HIV ,, NABADAE ALIKUJA kundua 97% of virus wamepotea ndani ya siku Tatu tuuu.

N.b acha kwenda kavu ,, Bado W.H.O hawajaipitisha lkn pia itakua very expensive
 
Ikipatikana dawa watu hawatakuwa na hofu juu ya ukimwi hivyo kiwango cha uasherati kitaongezeka sana , ni bora isipatikane kabisa dawa hiyo ili tuendelee kuishi kwa hofu juu ya ugonjwa huo.

Kwahiyo Mkuu wote waliopata ukimwi waliupata kwasababu ya uasherati? Come on.!!!!
 
Dawa ya UKIMWI ipo hapa Tanzania. Mtu alie gundua dawa hii ana mwezi na nusu sasa. Anatibu bure hutoi hata mia. Namba yake ni 0762744505. Kuna ushuhuda zaidi ya watu kumi nilio waelekeza na wamepona. Mwezi ujao ataanza kutibu kwa pesa kubwa. Mlio na ugonjwa huo sikieni na eleweni ipo siku mtanikumbuka .
cheki na huyu pia 0762977889 ni Sister, ameshasaidia watu kibao. Mara ya mwisho alikuwa Swanga, japo kuna wakati nilisikia yupo Dar.
 
"...Vipi wataalamu wa Tanzania wamewahi kufanya juhudi yoyote?"

binafsi sijawahi kusikia
cheki na huyu pia 0762977889 ni Sister, ameshasaidia watu kibao. Mara ya mwisho alikuwa Swanga, japo kuna wakati nilisikia yupo Dar.
 
cheki na huyu pia 0762977889 ni Sister, ameshasaidia watu kibao. Mara ya mwisho alikuwa Swanga, japo kuna wakati nilisikia yupo Dar.
Ukimwi baada ya miaka mitatu ijayo utakuwa kama malaria zinginezo tu maana kuna dogo mmoja pia toka kigoma pale ujiji anautibu fresh tu locally na watu wanapona kabisaa.

Ila anaogopa kujitangazaga tu. Dr sebi yeye aliumudu kuutibu ila akaanza kujinadi na kutaka kufundisha watu ili kurithisha skills zake mapeema USA wakajua wakamtuliza kaburini kwanza ili big pharma zao ziende mbele.
 
Hata kama yapo maradhi yalitikisa lakini si kama UKIMWI, yalisumbua lakini
hatimaye dawa ilipatikana..... Shuguli ipo kwenye UKIMWI, mara utasikia
dawa imegunduliwa Hispania, USA n.k kwa sasa nimesikia tetesi za dawa hiyo
kugundulika nchini ISRAEL lakini mwisho wa siku ni kimya.

Au kuna watu wanamaslahi na hili Janga hivyo wanazuia juhudi zote za kupatikana
kwa dawa hii?
Vipi wataalamu wa Tanzania wamewahi kufanya juhudi yoyote?
Ni Mara mia uumwe kisukari Ila sio Ukimwi aseee, kisukari pia hakina Tiba na complications zake ni mbaya saaana
 
Dawa ya ukimwi ipo na itakua released baada ya miaka 50 tangu kugunduliwa kwa huo ugonjwa. Stay tuned.
 
Ukimwi baada ya miaka mitatu ijayo utakuwa kama malaria zinginezo tu maana kuna dogo mmoja pia toka kigoma pale ujiji anautibu fresh tu locally na watu wanapona kabisaa.

Ila anaogopa kujitangazaga tu. Dr sebi yeye aliumudu kuutibu ila akaanza kujinadi na kutaka kufundisha watu ili kurithisha skills zake mapeema USA wakajua wakamtuliza kaburini kwanza ili big pharma zao ziende mbele.
Waingereza wako kwenye process pia, ni research iliyofanywa na Kings College, imperial College pamoja na Oxfod university. Dawa hii ni sindano ambayo Ina boost natural immune system kuweka kuua virusi. Inafanya kazi vizuri kwa wenye undictectabe status.
Wagonjwa walikuwa kwenye experiment ya dawa hii wameshaacha ARV mwaka wa pili huu
 
Back
Top Bottom