my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.