Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
wana jf kwanza heshima kwenu! hembu niambieni kwa nn baadhi ya wanaume au wanawake! wenye wapenzi au waume au wake zao! wanafuta sent item! zao kwenye sim? na wengine hata in box uliyomtumia nayo kafuta? na hapa napata swali la pili mnisaidie au ni vby kukagua cm ya mwenza wako? na la mwisho wana jf wengine ukicheki jioni cm yake received call 0! dialed call 0! missed call 0! na huku ww umempigia zaidi ya mara 3 au 10 na mkaongea je hii imekaaje? wana jf?