Hivi kwanini....

Hivi kwanini....

hahaaa haya mkuu,mashoga hawakuwepo katika utamaduni wetu wa kiafrica,hahaaaa hapo hapo unasema,inasemekana akigundulika mwanaume amefanya kitendo hicho aliuwawa.................mmmnh sasa hujaona you are implying 'ushoga ulikuwepo Enzi na Enzi?? waliogundulika waliouwawa,'wasiogundulika' je?

kuoa wake Zaidi ya mmoja sio dawa ya kuondoa ushoga,labda ulete hoja ya gay in islam world,sitaki unipeleke nje ya topic niliyoileta.

kumbe umeelewa eeh, kukwambia wakigundulika wanauwawa hiyo sio dalili ya kuwepo bali ni nyia iliyokuwa ikimaliza walijaribu hilo jambo. ni sawa na kusema hakuna Mmasai Albino, haina maana hawajawahi kuzaa albino ila mila yao akizaliwa albino wanamuua palepale ndani kwa wakunga wa kuzalisha hiyo ni mila yao.

unajua mwanadamu ni mtundu hivyo tabia hiyo ya utundu humfanya awe anajaribu kila anachofikiri anaweza kufanya hilo pia ni jingine, kuna ushoga wa utundu na ushoga wa uhanithi ila vyote ni ushoga. zote hazifai na ni tabia mbaya na chafu.
 
We Rebeca vp? ushoga haufai na wala si jambo la kulipa nafasi kabisa, mashoga hawakuwepo kabisa katika utamaduni wa kiafrika, tena makabila mengi ilikuwa akigundulika mtu kashiki tendo hilo aliuawa kabisa, yaani hakupewa hata fursa ya kuendelea kuishi. Waafrika ukiwa na nguvu za kutoka wewe ongeza wake uwatakao hata mia ni juu yako kuwatendea haki tofauti na wazungu utamaduni wao ni mke mmoja tu, sasa hilo likawawia gumu ajili sio maumbile ya mwanaume kuwa na Mke mmoja, yaani hakuna mwanaume aliyekamili anaweza kuvumilia na mke mmoja.
hiyo ikapelekea wazungu kuwa na nyumba ndogo(vimada) maana utamaduni wao ni mke mmoja tu na wakawekea sheria katika katiba zao kwamba polygamy ni kosa kikatiba na hadi sasa nchi nyingi sheria hiyo bado inatumika, sasa tamaa za kimwili za mwanaume kamili haziruhusu hali ya mke mmoja, nini option ndio wakaingia kwenye kuridhishana wenyewe kwa wenyewe(waume kwa waume) kuona hivyo na wanawake wakaanza nao (wake kwa wake), ikazoeleka kwa muda mrefu hadi ikawa ni kawaida.

Hayo ni matokeo ya kulazimisha mume mke mmoja ilhali maumbile ya mwanaume hayaruhusu, muulize mwanaume yeyote yule aliyekamili na afya njema kama anaweza akawa na mke mmoja pekee.
Sasa kama zamani mashoga hawakuwepo hao waliokuwa wanauliwa ni kina nani
 
Kumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....

Kwa nini tunachagua hili na sio lile?Lool

Sijui km umenielewa,as sometimes naongea huku naendika,lol

Kwa nini tunakubali shisha na tunabagua ushoga?
Unalinganisha shisha na ushoga!!!?wee shoga kwa kweli
 
kumbe umeelewa eeh, kukwambia wakigundulika wanauwawa hiyo sio dalili ya kuwepo bali ni nyia iliyokuwa ikimaliza walijaribu hilo jambo. ni sawa na kusema hakuna Mmasai Albino, haina maana hawajawahi kuzaa albino ila mila yao akizaliwa albino wanamuua palepale ndani kwa wakunga wa kuzalisha hiyo ni mila yao.

unajua mwanadamu ni mtundu hivyo tabia hiyo ya utundu humfanya awe anajaribu kila anachofikiri anaweza kufanya hilo pia ni jingine, kuna ushoga wa utundu na ushoga wa uhanithi ila vyote ni ushoga. zote hazifai na ni tabia mbaya na chafu.

mnh

utatumiaje kuwaua mashoga kama njia ya kumaliza ushoga? ...............,is like to say I'm going to shoot every one at school,watu waliokuwepo shuleni watauwawa kweli,lakini kwani hawatazaliwa wengine?,wakaja kusoma hio shule???

unasema mashoga hawakuwepo,mbona hapo hapo unasema mliwaua,utamalizaje tatizo ambalo halipo?utamuuaje mtu ambaye hayupo???.......kama mliwaua wote,mbona wapo leo?....
 
Wewe kama mwanamke ungeuliza kwann Waafrika wengi hatupendi Usagaji.. usitake anzisha mada kulenga wanaume hapa, jilenge wewe na wanawake wengine na mambo ya kisagaj
 
We Rebeca vp? ushoga haufai na wala si jambo la kulipa nafasi kabisa, mashoga hawakuwepo kabisa katika utamaduni wa kiafrika, tena makabila mengi ilikuwa akigundulika mtu kashiki tendo hilo aliuawa kabisa, yaani hakupewa hata fursa ya kuendelea kuishi. Waafrika ukiwa na nguvu za kutoka wewe ongeza wake uwatakao hata mia ni juu yako kuwatendea haki tofauti na wazungu utamaduni wao ni mke mmoja tu, sasa hilo likawawia gumu ajili sio maumbile ya mwanaume kuwa na Mke mmoja, yaani hakuna mwanaume aliyekamili anaweza kuvumilia na mke mmoja.
hiyo ikapelekea wazungu kuwa na nyumba ndogo(vimada) maana utamaduni wao ni mke mmoja tu na wakawekea sheria katika katiba zao kwamba polygamy ni kosa kikatiba na hadi sasa nchi nyingi sheria hiyo bado inatumika, sasa tamaa za kimwili za mwanaume kamili haziruhusu hali ya mke mmoja, nini option ndio wakaingia kwenye kuridhishana wenyewe kwa wenyewe(waume kwa waume) kuona hivyo na wanawake wakaanza nao (wake kwa wake), ikazoeleka kwa muda mrefu hadi ikawa ni kawaida.

Hayo ni matokeo ya kulazimisha mume mke mmoja ilhali maumbile ya mwanaume hayaruhusu, muulize mwanaume yeyote yule aliyekamili na afya njema kama anaweza akawa na mke mmoja pekee.
Hahahh..we jamaa dini yako imekuharibu, unatunga hadithi...
 
mnh

utatumiaje kuwaua mashoga kama njia ya kumaliza ushoga? ...............,is like to say I'm going to shoot every one at school,watu waliokuwepo shuleni watauwawa kweli,lakini kwani hawatazaliwa wengine?,wakaja kusoma hio shule???

unasema mashoga hawakuwepo,mbona hapo hapo unasema mliwaua,utamalizaje tatizo ambalo halipo?utamuuaje mtu ambaye hayupo???.......kama mliwaua wote,mbona wapo leo?....

kumbe umeelewa vizuri eeh, safi sana.
 
Wewe kama mwanamke ungeuliza kwann Waafrika wengi hatupendi Usagaji.. usitake anzisha mada kulenga wanaume hapa, jilenge wewe na wanawake wengine na mambo ya kisagaj
Wanawake wengi wa kiafrika hawana midomo mizuri ya kuvutia usagaji, usagaji upo tu na ushoga. Kuna mtoto mmoja wa kiume alikuwa mzuri zaidi ya mademu wengi hadi nikawa namtamani nimle, sikupata nafasi tu. Hivyo hata wanawake hutamaniana wao kwa wao.
Mbona wanahojiwa live but hii serikali pendwa inayokataza huo ushoga wala haiwakamati na hata hao wanaopromote pia hawawakamati??? Hii Ni dalili ya kwamba inasupport kimya kimya....Ila matamko ndio Mengi
 
Kumbe tuko selective eh?tunapokea hili kwenye utamaduni wetu,na tunakataa lile....

Kwa nini tunachagua hili na sio lile?Lool

Sijui km umenielewa,as sometimes naongea huku naendika,lol

Kwa nini tunakubali shisha na tunabagua ushoga?
Nina wasiwasi na jinsia yako
 
kuna mtu sijamuona kwenye huu uzi namsubir aje na yeye atoe maoni yake.....
 
Kiufupi, kwa promo mnao upa ushoga, ni dhahili umekubalika.

Mnapenda kuvipa promo vitu vya watu binafsi, matokeo yake vina kuwa vya public..

Kazi sana.
 
Mnh haya,

Ukiulizwa kwa nini ushoga ni utamaduni wa kishenzi?najua hautanijibu lol

Nini mwanzo wa utamaduni wetu?je mashoga hawakuwepo ktk mwanzo huo wa utamaduni,kwa nini mnasingizia ni wawest ndio wameleta ushoga?
Achana na suala la kuwa utamaduni wetu au la, the issue is 'Ushoga ni against nature', period.
 
why blaming ushoga ni something of the west,kihistoria ulikuja lini?,je perception imetofautiana before ama after being colonized?

mods saweni kwa kufuta topic yangu.
 
Back
Top Bottom