We Rebeca vp? ushoga haufai na wala si jambo la kulipa nafasi kabisa, mashoga hawakuwepo kabisa katika utamaduni wa kiafrika, tena makabila mengi ilikuwa akigundulika mtu kashiki tendo hilo aliuawa kabisa, yaani hakupewa hata fursa ya kuendelea kuishi. Waafrika ukiwa na nguvu za kutoka wewe ongeza wake uwatakao hata mia ni juu yako kuwatendea haki tofauti na wazungu utamaduni wao ni mke mmoja tu, sasa hilo likawawia gumu ajili sio maumbile ya mwanaume kuwa na Mke mmoja, yaani hakuna mwanaume aliyekamili anaweza kuvumilia na mke mmoja.
hiyo ikapelekea wazungu kuwa na nyumba ndogo(vimada) maana utamaduni wao ni mke mmoja tu na wakawekea sheria katika katiba zao kwamba polygamy ni kosa kikatiba na hadi sasa nchi nyingi sheria hiyo bado inatumika, sasa tamaa za kimwili za mwanaume kamili haziruhusu hali ya mke mmoja, nini option ndio wakaingia kwenye kuridhishana wenyewe kwa wenyewe(waume kwa waume) kuona hivyo na wanawake wakaanza nao (wake kwa wake), ikazoeleka kwa muda mrefu hadi ikawa ni kawaida.
Hayo ni matokeo ya kulazimisha mume mke mmoja ilhali maumbile ya mwanaume hayaruhusu, muulize mwanaume yeyote yule aliyekamili na afya njema kama anaweza akawa na mke mmoja pekee.