Ally maliki
Member
- Sep 3, 2019
- 10
- 6
Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi. Kitu gani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au wabishi?
Halafu ukute katokea kigoma, ni balaa!Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi kitugani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au ubish?
Halafu ukute katokea kigoma, ni balaa!
Inferiority complex!Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi kitugani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au ubish?
Halafu ukute katokea kigoma, ni balaa!
🤣 🤣 🤣 🤣Wewe hujui kwamba watu wa Kigoma wamekuolea dada yako, hao ni shemeji zako angalia kijana,🤣🤣