MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Huku Jf siku hizi kuna mpaka watoto wa darasa la nne. Yaani wakishajua kusoma na kuandika inakuwa shida.Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Ccm hyo hyo imetengaa mabilion ya kukimbizaa mwenge ilihali wananchi wake wanakosaa huduma bora kilaa konaaa....CCM walikula rambirambi za tetemeko la ardhi huko Kagera
CCM inawatesa Watanzania kwa ufisadi (wizi wa fedha) za umma
CCM ni majangili wa nchi hii
Airport chato,CHADEMA ubinafsi,udini,ukabila, ukanda umejaa ndio maana wanachukiwa sana
Teh teh teh teh pole sana mwanafisiemM.p.umbavu wewe na familia yako
Najiandaa kwenda air port kumpokea Dr Wilbroard Peter SlaaSlaa,chadema ni chama cha kifamilia zaidi kimeundwa zaidi ktk misingi mibovu yakikanda!! hakina dira that's why wafuasi wake huitwa nyumbu maana hawajui hata wanachokifata
USHAURI KWAKO MLETA MADA-kama wewe pia ni mwanachama wa nyumbu Tafadhali kimbia upesi sana laa sivyo huko utafundishwa kujiteka mwenyewe na kujikomboa mwenyewe
Kungekuwa na tume huru ya uchaguzi ccm ingekuwa nyuma ya ACT.Watu gani?
Mwaka 2005 - CCM ilishinda kwa asilimia 80.3.
Mwaka 2010 ikashinda kwa asilimia 61.3
Mwaka 2015 ikashinda kwa 56.2
Hizi ni Takwimu kwa mujibu wa NEC ya CCM.
Hebu jiongeze wasiopendwa hapo ni akina nani?
Sio kweli, na wewe acha kujifanya much know. Sababu za Chadema kutoshinda unazijua vema kabisa kuwa ni kutokuwa na tume huru ya uchaguzi. Hayo mengine unayosema ni mbwembwe tu ndugu yangu ili muonekane na kupata kick tu basi.Hili tatizo kubwa Chadema mnalo.... Linaitwa u much know... Mnadhani mnajua kila kitu na watu wakipinga sera zenu kwa hoja ghafla mnaanza kuwaita ni CCM. Matokeo yake hamshindi kwasababu hamsikilizi ushauri.
Chadema ni chama cha demokrasia ya Mateja. Kina sifa ya kutetea waharifu na kuwapa uanachama watu wa namna hiyo.Kila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
chadema ni genge la wasanii na waganga njaaKila Asubuhi watu wanaitukana Chadema
Kila Mchana Watu wanaikosoa na kuilaani Chadema
Kila jioni watu wanaidharau Chadema
Usiku ndiyo kabisaaaaa hawataki hata kuisikia Chadema wasije wakaota ndoto za majinamizi.
Uzi umevamiwa na Lumumba, hebu chunguzeni kuna agenda gani wanataka kuikimbiza?
Vyeti bado havijaletwa.
Ubashite huoM.p.umbavu wewe na familia yako
WapooooooMimi ninachojua ni kwamba wasiopendwa ni majizi, mafisadi, vilaza, wahujumu uchumi, majambazi, na wafojaji wa vyeti wa CCM mfano Daud bashite&sizonje