Hivi kwanini watanzania wanapenda kushangaa shangaa?

Hivi kwanini watanzania wanapenda kushangaa shangaa?

mtu awaye yote kutoka sehemu yoyote ya ile uso wa dunia huwa anashangaa kitu kilicho kigeni au kisicho cha kawaida machoni pake. Hivyo si waTanzania pekee ndiyo wanaoshangaa.
 
kuna suala huwa najiuliza,hivi tabia ya watanzania kushangaa shangaa hovyo tumeitoa wapi?
unakuta maybe greda linachimba tu mtaro huko mtaani but wazee,vijana na watoto wanakua wamelizingira Hilo greda.na hii tabia iko mijini na vijijini.
hivi tatizo huwa ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nin tatizo?
Hata wazungu wanashangaa, kumbuka Shaffii alivyoenda Urusi kulipoti kombe la ufaransa(dunia) wazungu walimshangaa alivyovaa lubega. Hivyo kushangaa ni kawaida na mimi nimeshangaa uzi wako
 
mtu awaye yote kutoka sehemu yoyote ya ile uso wa dunia huwa anashangaa kitu kilicho kigeni au kisicho cha kawaida machoni pake. Hivyo si waTanzania pekee ndiyo wanaoshangaa.
Good ni kweli wanataka kujua mbna wenzetu wakina upige picha bahadhi ya vitu au maeneo.!?
 
Hii hata wageni wanalijua wakija kutembea
Unakuta mtu anamshangaa mzungu na anaangalia mizigo yake mpaka jamaa anashangaa na kujiuliza ananilia timing?
Kumbe wala ni maajabu yetu yalivyo
 
Kushangaa ni ishara ya kutaka kujua kulikoni...
 
kuna suala huwa najiuliza,hivi tabia ya watanzania kushangaa shangaa hovyo tumeitoa wapi?
unakuta maybe greda linachimba tu mtaro huko mtaani but wazee,vijana na watoto wanakua wamelizingira Hilo greda.na hii tabia iko mijini na vijijini.
hivi tatizo huwa ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nin tatizo?
ha ha ha haa nimecheka saana kwakua ni kweli hua na mi na washangaa saana hawa washangaaji kisha nawapuuza
 
Juzi nmeua huyo kiumbe kijiji kizima kimajaa hapa kushangaa aiseeee
FB_IMG_15334895237803203.jpg
 
Mkuu kiukweli Dunia inashangaza sana so kuna vitu unajikuta unashangaa tu hata bila kuelewa, Pili wabonGo wengi wana asili ya kaUmbea flani hivi kutaka kujua kila kitu, hata gari la taka likipita mtaani atashangaa tu.

Enyewei, life is full of Surprises.
 
kuna suala huwa najiuliza,hivi tabia ya watanzania kushangaa shangaa hovyo tumeitoa wapi?
unakuta maybe greda linachimba tu mtaro huko mtaani but wazee,vijana na watoto wanakua wamelizingira Hilo greda.na hii tabia iko mijini na vijijini.
hivi tatizo huwa ni ukosefu wa kazi za kufanya au ni nin tatizo?
hahahhaha..ni kwel kabisa
 
aisee hiyo tabia huwa inanikera na huwa najiuliza hv watu wengine wakoje, unakuta mtu kashuka kwenye dalala ana safari zake lakini kakuta tukio halina mbele wala nyuma watu wanashangaa na yeye safari inaishia hapo hapo anashangaa, na mengine ni ya kijinga ambayo huniacha hoi mfano mimi asubhi nnapotoka kwangu sina wa kunifungulia geti basi nnapotoka inanibidi nifungue geti nitoe gari then nishuke kwenye gari nirudi kufunga geti na nnaporud nyumbani ni hivyo hivyo ila cha kushangaza unakuta mtu anasimama kabisa anashangaa nnavyofungua lile geti natoa gari au naingiza gari na atashangaa mpaka gari inapopotelea, sasa najiulizaga cha ajabu ni nini au ni habit tu baadhi ya watu wamejijengea, mbona mimi siwezi kuwa hivyo
 
Kushangaaa!!!, hata ww unashangaa sasa, kweli nimeamini sisi WATZ ni watu WAKUSHANGAA.

Anyway, sio kushangaa ni kubarizi tu, hatuna maeneo ya kubarizi, hivyo yakitokea mtaani ndo hapo tunajitokeza na KUBARIZI.

Kushangaa ni kama vile alivyotokea Simba Mbagala.
 
Kwnanza kabisa nikupe pole ww mtoa uzi,kushangaa ni hulka ya binadam yeyote aliya na akili timamu,pia kushanga ni tiba,Kushangaa pia ni udadisi,wengi wlio wahi shangaa sana duniani wamegundua mambo makubwa duniani,

Pia jua kuwa huwezi shangaa jambo au tukio au tendo ulilo lizoe,kijiko kuchimba mtalo lazima watu washangae wamezoea kuchimba kwa majembe mkono, leo wanona kuna kitu kinachimba kwa nn asishanga kama anaakili timamu,ila kumbuka kesho hatashanga tena kwa tukio hilohilo

Mtoto wakizungu na wakimasai ukiwapeleke simba au twiga mtoto wakizungu atashangaa wakiamsai kwake nimazoea,
wazungu watoka kwao wanakuja kushangaa wanyama wamsai wanawashangaa kulipa hela nyingi eti aone simba,

Kwahiyo kushangaa ni kitendo cha kutaka kujua au kuburudisha au kujifurahisha,Mfano mazingaombwe yakifanyika watu wanashangaa,ila mfanyaji hashangai,

Kuna mtu kasema watz washamba,naomba nikuelimishe maana ya ushamba

Ushamba ni hali ya kutojua jambo au kitu hasa katika matumizi yake na yule mtakamji wa jambo mshamba yaani yule anekuita wewe mshamba jambo hilo kasha lizoea ndio maana anajiona si mshamba,

Neno mshamba limetokana na kwamba watu wamshambani wengi hawajui mambo menngi ya kisasa,

Ila kumbuka hata ww ukienda kijijini ukaona jamaa wanavyo tega mitego kwa kunasa ndezi au kwale, utashangaa,so na ww ni mshamba japo watakuita wamjini,

so all in all hakuna binadam asiye wahi kua mshamba kwanamna moja au nyingine, leo hii kama sio sashivi ukijenga nyumba ya udongo naukaezekea makuti kule ulaya kila mzungu atashangaa,ila jenga Dar uone,
 
Back
Top Bottom