enfuka nkulu
Member
- Dec 4, 2012
- 48
- 4
Waache wala usiwabugudhi. Watakuja kujua in the near future kwamba MUUMBA hakufanya makosa kuumba jinsia mbili tofauti. The lesson will be hard, but yes, they will know the truth and it will set them free! Kwa sasa hakuna atakayekuelewa, kama wamelewalewa hivi
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
Nisihukumiwe kifungu ila wanaojua watatusaidia Biblia inasema itafika wakati wanawake watataka kuwa wanaume........................
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
ina maana hata wewe kwa uelewa wako unashindwa kutofautisha mavazi ya kiume naya kike???jaribu kushirikisha ubongo wako kikamilifu kabla ya kupost.
Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
Kibol, kuna wajanja wametibua vumbi. Tusubiri vumbi litulie ataweza kuona vizuri. There is a fog but soon will clear and the truth will stand out like a sore thumb