Hivi kwanini wanawake hawawatafuti wanaume wenye bikra?

Ndio maana mie siweki sred maanaa mmmhhhh

dada kwanini uogope baadhi ya watu wachache humu ndani?

hivi hajui kwamba hii ni sehemu watu wanaonge kwa uhuru?

ukiishi kwa kuogopa viumbe vya ajabu kama huyo jamaa, hautofika mbali!
 
Mwanaume kwanza juwezi kuprove km ipo,but most i look up to him anifundishe mambo mengne,sasa mi nikiwa tcha kuliko yeye ht hainogi

pole pole ndio mwendo lakini badiebey!

ukitoa lecture leo, kesho performance indicators zitaonekana!

but virgin na virgin wakikutana, sijui itakuwaje hapo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi watu wengine kabla ya kuweka sredi, huwa mnajihoji nafsini mwenu kwanza?

ahhh!! hasira zako za kwenye period hebu peleka huko kwanza!

die fighting bro!
537254_283879205068954_1477339877_n.jpg


hahahaaaa!!!

na ulale mapema kesho uwahi kibaruani!

184337_308009355989272_1863335381_n.jpg
 
Back
Top Bottom