Hivi kwanini wanaume waliooa huwa hawakataliwi kizembe na wanawake?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,566
12,662
Habari za majukumu wakuu?

Nilikua naomba kujua ni sababu gani zinazowanya wanaume waliooa kutokukataliwa kizembe na wanawake wa rika tofauti, wakati sisi ambao hatujaoa sometimes inaweza ikapita hata mwezi hakuna hata binti anayekusalimia.

Kwa leo ni hayo tu.

Asante
 
Wanaume waliooa wanaka-aura flani hivi. Yani so sexy wallahi.

Wako confident, hawana papara, ni wasafi(wanatunzwa), hawana njaa kubwa sana ya papuchi(anayo nyumbani), hawana kufuatiliana wala mawiiivuuu(anauelekeza kwa mkewe), anahonga(ndo kitu pekee anaweza kukupa).
 
Hahahaaa dah umenichekesha ujue

Tafuta wako mama umtunze
 
Michepuko utawajua tu kwa comments zao yaani wako full confident mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…