Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
....rahisi sana basi tu sisi wenyewe tunayafanya magumu. Sasa kama mtu akikuchoka ufanyeje? Nawe mchoke, songa na life yako.
Unajua kwa nini huko nchi zilizoendelea divorce nyingi? Mambo kama hayo hakunagana kulazimisha mapenzi, penzi likifa basi kila mtu kivyake.
Ingewezekana kama hakuna mambo mengine yaliyokuwa yanaungana na ndoa yenu...ingawa vijana wa kileo wameweza, wanathubutu na wanasonga mbele ukiwaletea maneno maneno. I wish we could handle things differently