Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,892
- 172,678
Acha wivu bro
Mimi sio mzinzi ningeamua kumla ningemlaKwaiyo mtoa mada ulitaka jamaa akutamani wewe au?
maana kamavile unaona wivu vileeee
Jamaa ni mkiristo dini yake hahiruhusuLabda kama anampango wa kuongeza wa pili utajuaje
Sio wivu mi sipendi uzinzi ukizingatia jamaa kaoaAcha wivu bro
Sio kwamba nataka kuokoa ndoa ya watuWw sema unamtaka huyo demu tu unaona jamaa anakuzidi kete
Lakin jamaa si anamke wake kwanini hasitulie na mkeweCku zote mwenye kisu kikali ndio anae win
sasa yanakuhusu nini bro, afu muda anakodolea we unakua wapi unafanya nini?Sio wivu mi sipendi uzinzi ukizingatia jamaa kaoa
Naokoa ndoaAcha umbea mtoto wa kiume, sema tu na wewe unamtamani
MhWw sema unamtaka huyo demu tu unaona jamaa anakuzidi kete
Umeona eeh!Nilichogundua ni kwamba wewe na huyo jamaa wote mnamuangalia huyo mwanamke akienda kuogoa
mi nikitoka kwangu huwa namuona muda mwingi anarandaranda kwa Yule bintisasa yanakuhusu nini bro, afu muda anakodolea we unakua wapi unafanya nini?
Wakati anamuangalia wewe unakuwa wapi? Na umejuaje anamuangalia kama na wewe humuangalii?Hapana mkuu huyu jamaa kaoa juzi tu amekuwa akimkodolea macho Sana Yule binti, mke wa jamaa huwa hashindi pale kwake ni mtumishi serikalini huwa anasafiri kikazi Mara kwa mara na Yule binti muda mwingi amekuwa off Hivi ni kwanini wanandoa Kama Hawa awaridhiki na ndoa zao ukizingatia bado changa sana
inakua inakuuma kichizi sio?mi nikitoka kwangu huwa namuona muda mwingi anarandaranda kwa Yule binti
Kwani kuoa na kumkodolea mtu macho kuna uhusiano gani?Sio wivu mi sipendi uzinzi ukizingatia jamaa kaoa