Hivi kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu wakiwa na umri mdogo sana kuliko wanajeshi wa Tanzania?

!
!
Wanaajiri Kwa Malengo Maalum. Kutakuwa Na Mission Nchi Fulani Wanaajiri Na Mission Ikiisha, Au Ukawa Umekosa Sifa Ya Kuendelea Na Mission Off You Go. Pia Kuna Fursa Nje Ya Jeshi Hasa Baada Ya Kulipwa Chako. Wengi Wao Wana Uelewa Wa Mambo Nje Ya Jeshi.
Unataka Huku Kwetu Astaafu Mdogo Kisha Aende Wapi? Aje Ajiunge Na Makampuni Ya Ulinzi? Thubutuuuuu. Kama Mwenye PhD Pale Morogoro Alipotumbuliwa Akasema Asamehewe Eti Ataenda Wapi, Sembuse Hawa? Haitoki Mtu Pale. Yaani Daladala Bure Nistaafu? Usinianike
Nimekosa mimi..nimekosa mimi...nimekosa sana
 
hawastaaf wanaachana na jeshi
jeshi haliajiri moja kwa moja mkataba ukiisha sio lazima urenew
ni wewe mwenyewe na uamuzi wako
(unalamba mkwanja wako unasepa)

pia jeshini wanatakiwa watu physicaly fit tuu
 
Ndio lazima wastaafu. Sasa watafanya kazi gani kubwa zaid ya izo mission walizofanya. Au unataka wamtoe raisi wao madarakani?
 
Kuielewa USA inabidi uwe na akili ya ziada maana viongozi wanatumia akili kubwa sana kuongoza nchi. Wazungu wenyewe wanawashangaa Americans sembuse sisi Africans!!?
 
!
!
Wanaajiri Kwa Malengo Maalum. Kutakuwa Na Mission Nchi Fulani Wanaajiri Na Mission Ikiisha, Au Ukawa Umekosa Sifa Ya Kuendelea Na Mission Off You Go. Pia Kuna Fursa Nje Ya Jeshi Hasa Baada Ya Kulipwa Chako. Wengi Wao Wana Uelewa Wa Mambo Nje Ya Jeshi.
Unataka Huku Kwetu Astaafu Mdogo Kisha Aende Wapi? Aje Ajiunge Na Makampuni Ya Ulinzi? Thubutuuuuu. Kama Mwenye PhD Pale Morogoro Alipotumbuliwa Akasema Asamehewe Eti Ataenda Wapi, Sembuse Hawa? Haitoki Mtu Pale. Yaani Daladala Bure Nistaafu? Usinianike
KiLa askari anahitimu kozi ya jeshi akiwa na taaluma hivyo anaondoka mapema jeshini ili akafanye kazi ya taaluma yake
 
Kuustaafu wabeba bunduki umri mdogo ni kuchochea matatizo makubwa nchini. Heri tuwatulize hadi uzeeni vinginevo hawachelewi kutugeuzia kibao wa kishirikiana na wananchi.
 
Watanzania wengi hawko proud na hawana mapenzi na nchi yao,ndomaana ukitembea mtaani unakuta mtu kaweka bendera ya sauzi Africa,au marekani au Jamaica,yooote ile ni kukosa mapenzi na nchi yao,na ni kutokana na mifumo mibovu ambayo ipo nchini kwetu.. I hate ccm!!
I hate to be tanzanian
 
wanajeshi maafisa huwa hawastaafu mapema ila wanajeshi askari husaini mkataba miaka miwili tu kwahiyo ukiona mzee ujue kapenda mwenyewe
 
Huku wazee mpka wanashika mikongojo lkn bado wapo ndani ya gwanda......hata uharifu wa nchi zetu ni wa level hzo hzo tu
 
Kule kuna mifumo rafiki yaani mteremko pia ajira ya jeshi ni mkataba ni wwe tu ukiona yafaa kuendelea ustaaafu sawa au uchukue chako ukafanye kingine sawa,
 
Apa Tanzania tunaishi tuuu, ili mradi hatuna malengo yoyote, hata waliopo kazini ukimuuliza swali unafanya kazi ili iweje. Atakujibu nafanya ili mkono uingie kinywani.
Waafrika wengi ktk hii dunia hatuna malengo yoyote tunaishi kwa kusindikiza watu weupe.
Donald Trumpet anavyozungumza akosei. Sisi tunaishi ishi kama nyani kaona ndizi
 
unamaanisha nn mkuu, wanapikiwa chips kambini au?
Namaanisha wanakula vyakula vya kawaida sana..kuwa mjeshi unatakiwa uwe mkakamavu na hata mlo ule ulio kamilika.Hapa Tz vyakula vya hao jamaa tunavijua wenyewe.
 
uzuri mtoni wajeda wakistaafu katika umri huo wa 30-40 wanapata shavu kwenye PMCs,wanajeshi wazuri wote wako sababu wanalipa vizuri
 
Back
Top Bottom