Muulize mwalimu majaliwaYaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo![]()
Kwasababu hawaonekani kwenye TV wala siyo maarufu🤣Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo![]()
Muulize mwalimu majaliwa
Yaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo![]()
Watawajengea confidence na ninyi ni wengi sana mtausumbua utawalaYaani wanamuzi na watangazaji wa redio na luninga ndio hukumbukwa lakini walimu wa primary na secondary ni nadra shida sijui nini? yaani walimu wako downsized mnoo![]()
Ila kweli walimu wanapenda sana kulalamika sijui kwa niniWalimu wanalalamika tu.
Kingwendu anakwenda tikisa nchi soonSaivi ni wasanii na waigizaji, Walimu mtulie kidogo