Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,058
Ona sasa hili likenya, ndo kumaanisha nini?
Huyu kiazi tu
Ona sasa hili likenya, ndo kumaanisha nini?
tukipunguza rushwa kdg,tukiongeza bidhaa tunazo"export" nje ,tukibalance idadi ya wasomi na wataalam wetu ,tukipunguza idadi ya misaada kutoka nje,na pia tukiongeza idadi ya sehem za kutoza kodi km kodi za apartments,uraia,viwanja,na baadhi ya luxury goods kutoka nje........na uongozi ukabadilika........SOON WAKENYA WATAISOMA NAMBA.....VERY SOON
Binfsi naishi vizuri tu hapa zenji na mchepuko wangu wa kikenya ,soon nitatembelea jaluo land nikale nae bata kwao!sasa hiyo chuki iwapi?Mijadala ya kwenye mitandao naona kama ni kupeana changamoto tu.hakuna mtu mwenye chuki na mtu si mkenya wala mtanzania.
make in kenya, household in DAR
![]()
Nimeshuhudia maranyingi battle ya maneno kati ya watanzania na wakenya kwenye mitandao ya kijamii, na battle hizo maranyingi wakenya ndo wanaanzisha kutokana na majisifu yao yasiyovumilika na kujiona superior sana kuliko watanzania, ni ngumu kuona battle ya mtanzania na mganda/rwanda/burundi kwenye social networks but ni kawaida kuona battle ya mtanzania vs mkenya, mfano jana kwenye page ya facebook ya msanii wetu Diamond Platnumz aliandika post aliyoiandika kwa lugha mbili kiingereza na kiswahili, kama unavyojua kiingereza si lugha yetu kiingereza chake kikawa na errors kidogo, wakenya wakaanza vimaneno vyao vya kejeli basi kukawa na vita kubwa ya matusi kati ya wakenya na wabongo. Nini hasa kinasababisha chuki hizi?
Ndio hivyo jamaa wapenda sifasanaNilikuwa ninaangalia talk show ya Patricia, wakasema khanga zimeanzia Kenya jamani nilibaki mdomo wazi.
Binfsi naishi vizuri tu hapa zenji na mchepuko wangu wa kikenya ,soon nitatembelea jaluo land nikale nae bata kwao!sasa hiyo chuki iwapi?
Sinahaja ya kubishana na kilaza kama weweUlibaki mdomo wazi kwa kua umelala usingizi wa pono......Pwani ya Kenya imekua ikitengeneza khanga kwnye viwanda vya majumbani hata kabla ya Tanzania kujua jinsi ya kutengeneza kiberiti.Kabla ya TANGANYIKA KUA TANZANIA(muungano na Zanzibar)Tatizo lenu ni kufikiria Kenya ni Nairobi tu!Hebu "google" na kawaulize wasomi ma proff wenu watakueleza......hata Kiswahili kilianzia pwani ya Kenya.Sema tu ndio ishakuwa mtindo kwenu siku hizi...ila sisi tulisha toka kule zama zile......tumezitengeza hata kabla ya nyie kumuona mzungu/mkoloni......hata kabla ya nyie kuanza biashara na mataifa ya nje.Mfano, ni vitu vingi tu mnazofanya siku hizi na kujiona ni nyie ilhali wenzenu tulisha pitia na kuyafanya zama zile.....kuanzia mziki,sanaa,uigizaji,utalii,elimu,uzalishaji wa viwanda na kadhalika.Tumewapokeza kijiti......na mmeanza kuamka toka usingizini.Poleni sana kwa kudanganywa ,enyi wadanganyika .......miaka hii yote.
Ulibaki mdomo wazi kwa kua umelala usingizi wa pono......Pwani ya Kenya imekua ikitengeneza khanga kwnye viwanda vya majumbani hata kabla ya Tanzania kujua jinsi ya kutengeneza kiberiti.
Kabla ya TANGANYIKA KUA TANZANIA(muungano na Zanzibar)
Tatizo lenu ni kufikiria Kenya ni Nairobi tu!
Hebu "google" na kawaulize wasomi ma proff wenu watakueleza......hata Kiswahili kilianzia pwani ya Kenya.
Sema tu ndio ishakuwa mtindo kwenu siku hizi...ila sisi tulisha toka kule zama zile......tumezitengeza hata kabla ya nyie kumuona mzungu/mkoloni......hata kabla ya nyie kuanza biashara na mataifa ya nje.
Mfano, ni vitu vingi tu mnazofanya siku hizi na kujiona ni nyie ilhali wenzenu tulisha pitia na kuyafanya zama zile.....kuanzia mziki,sanaa,uigizaji,utalii,elimu,uzalishaji wa viwanda na kadhalika.
Tumewapokeza kijiti......na mmeanza kuamka toka usingizini.
Poleni sana kwa kudanganywa ,enyi wadanganyika .......miaka hii yote.
Wanatuchukia sababu wanajua tuna uwezo mkubwa kuliko wao sema tumelala, na wanajua kabisa siku Tanzania ikiamka hawataweza kutuchukia kwani misaada na mikopo ya fedha watakuwa wakituomba sisi
Kwani Ni Lini Walitulazimisha Tuwapende? Swali Lako Ni Sawa Na Kuuliza Kwanini Watanzania Hawawapendi Wanyarwanda? Akhsante.
Halijielewi hili nashangaa al shabab hawajarudi tena tangu waue vijitu 150 tu mi nikisikia mkenya kafa hua nafurahi sana napenda al shabab waanze kuwachinja wakenya sio kuwaua kwa risasi!!
Waambie hao UCHUMI wajifunze na kulipa Suppliers wao,madeni mpaka mdomoni hawalipi hadi tumewakatia kusupply mizigo ptuuuuuuu!!!!