Hivi kwanini Wachagga wanapenda kuuza duka?

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
566
Kama mtaani kwenu hayupo Mangi, basi itakua mnaishi abroad.

Kama masai sio mlinzi.

Mhaya hana majivuno.

Mkurya si mjeshi,

Msukuma hafugi ngombe.

Mswahili si dalali.
 
Kwa sababu wanapenda Biashara ya kununua na kuuza ....Una swali lingine juu ya wachaga ? .
 
Mgogo si kana kwamba anapenda hela ila hapendi kufanya kazi anapenda dezoooo dezoooo
 
Wachagga Japo Ni Mashemeji Zangu Lakini Wanapenda Kuuza Duka au Kufanya Biashara Kwakuwa Kiasili Tu Ni WADHULUMATI WALIOTUKUKA.
 
Mchaga kwa asili yao hawapendi kutawaliwa na wanapenda kujitawala na kuwa huru. Hawapendi sana kuajiriwa, wanapenda kujiajiri wenyewe na akiajiriwa hufanya kazi sana na hupenda yeye ndiye awe kiongozi eneo hilo na anapokosa uongozi anatoka kwenda kuanzisha cha kwake na yeye kuwa kiongozi.

Ukimwajiri mchaga mpe nafasi afanye kazi , ukimbana tu anaondoka. Wanauza maduka sana kwa walio mijini na walio vijijini ni wakulima na wafugaji wa ndani wazuri sana. Hawana majivuno sana ni raisi sana kumkuta mchaga msomi anauza kiduka au anaendesha Bodaboda au analima.
 
njia rahisi ya kuwa karibu na watu na kujua mambo mengi pia Kilimanjaro kuna uhaba Wa ardhi njia rahisi ya kuishi ni kufanya biashara hasa ya duka au kuuza chochote sokoni
 
Kama mtaani kwenu hayupo Mangi, basi itakua mnaishi abroad.

Kama masai sio mlinzi.

Mhaya hana majivuno.

Mkurya si mjeshi,

Msukuma hafugi ngombe.

Mswahili si dalali.

Alaa kumbe kila kabila linapenda kitu fulani dhidi ya jengine. Waha pia wanauza maduka. Warangi nao ma bamedi ilihali wapare ni mafundi cherahani. Wachaga wasikutoe ufahamu ninyi pia mna ubora wenu.
 
Wasambaa ni wauza magenge, house girls.

Wonderful;
Yaani Msambaa anauza gengeni si ili apate faida bali aone wamama tuu. Hata kama hakumtongoza ila akimgusa mkono kupokea pesa au kumrudishia chenchi kwake ametosheka na moyo unasuuzika, Kila kabila na yakwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom