Kama mtaani kwenu hayupo Mangi, basi itakua mnaishi abroad.
Kama masai sio mlinzi.
Mhaya hana majivuno.
Mkurya si mjeshi,
Msukuma hafugi ngombe.
Mswahili si dalali.
pia wanasifika kwa kupaka viatu rangi.wasambaa nao kwenye kuuza chips huwatoi.
sina uwakikaka sana.Wachagga Japo Ni Mashemeji Zangu Lakini Wanapenda Kuuza Duka au Kufanya Biashara Kwakuwa Kiasili Tu Ni WADHULUMATI WALIOTUKUKA.
mkwere nafikiri yupo katika kundi la waswahili maarufu kwa udalaliMkuu, umemsahau Mkwere kaka!
kumbuka kiswahili kina asili ya pwani na wazungumzaji wa kiswahili ni waswahili. Leo hii watanzania wengi tunazungumza kiingereza, je sisi ni waingereza?"Mswahili si dalali"
Kwani hao wengine uliowataja hapo juu wao sio WASWAHILI?!
Alaaa kumbe!!!!!!mkwere nafikiri yupo katika kundi la waswahili maarufu kwa udalali
Mkuu, umemsahau Mkwere kaka!
Wachagga Japo Ni Mashemeji Zangu Lakini Wanapenda Kuuza Duka au Kufanya Biashara Kwakuwa Kiasili Tu Ni WADHULUMATI WALIOTUKUKA.
huyo mswahili ambaye ni dalali ndio kabila gani na wako mkoa gani ?Kama mtaani kwenu hayupo Mangi, basi itakua mnaishi abroad.
Kama masai sio mlinzi.
Mhaya hana majivuno.
Mkurya si mjeshi,
Msukuma hafugi ngombe.
Mswahili si dalali.
Kama mtaani kwenu hayupo Mangi, basi itakua mnaishi abroad.
Kama masai sio mlinzi.
Mhaya hana majivuno.
Mkurya si mjeshi,
Msukuma hafugi ngombe.
Mswahili si dalali.
Sifa ya wagogo ni wezi..Mgogo si kana kwamba anapenda hela ila hapendi kufanya kazi anapenda dezoooo dezoooo