Hivi kwanini wabongo wengi wana ujinga mwingi?

Hivi kwanini wabongo wengi wana ujinga mwingi?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
2,280
Reaction score
4,463
Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
20241108_192544.jpg
 
Ujinga utapungua au kumalizika tukiboresha elimu yetu.
 
Unatusingizia tu asee. Hiyo picha sio bongo. Wabongo hatuko wajinga ila ni maboya, mandezi, maongo, mavivu na mabishi
 
Back
Top Bottom