- Thread starter
- #41
Nit
akutukana ujue,Kwahiyo we unamuona Trump hawez? Au ushapiga bange apo ghetto kwako
akutukana ujue,Kwahiyo we unamuona Trump hawez? Au ushapiga bange apo ghetto kwako
Come on read this from an american writerHebu kwanza tutajie sifa zinazofaa mtu awe nazo ili afae kuwa rais wa marekani. Haya majibu yanayotolewa yote yanazungukazunguka tu
BTW Yule bibi alikuwa hana sababu nyingine ya kuwa rais zaidi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa USA...Afadhali Trump alikuwa anasema "Make Amerika Great Again".
Stick to the topic my fellow lady!Unafanya kosa hilo hilo, kama huna la kunijibu si unyamaze ukune nazi. Kwani wewe najua jinsia yangu, afterall kukuna nazi to me is not an issue. Kwa mtu wa pwani that could make a great cultural insult, not to me anyway!
Bado inategemea uko kwenye universal set gani. Kwani ukiwa na simba wawili na nyumbu watano, dominant group ni ipi hapo kwa akili ya kawaida?Mfano katika states 50 Mimi nichaguliwe na states 30 wewe uchaguliwe na states 20, lakin zikijumlishwa kura za states zote ww unanizidi kura.kwa akili ya kawaida Je nan mwenye uhalali ya kuwa kiongoz wa states zote?
Unaweza kuongoza mchi ambayo majimbo ya wapinzani wako ni mengi kuliko yako? Sasa hiyo itakuwa nchi au mvulugano, kuna kitu kitaenda kweli? Unajiuliza ingekuwa vipi lowasa angeshinda huku CCM ikiwa na viti vingi vya ubunge. Jibu utakalopata ndio utajua kwa nini wameamua kutumia uo mfumo.nina ielewa vizuri sana hyo systeam inavyofanya kazi na hadi sababu za kwann iliwekwa... ila nilichoongelea hapo ni ile majority vote ya wananchi tumezoea wengi wape na siyo kuangalia umeshinda jimbo gani na kwa kura ngapi.... mimi ninavyoelewa demokrasia ni wengi wape kwangu mimi huo systeam siyo demokrasia kabisa
I am your mummy!Stick to the topic my fellow lady!
Ok ma’amI am your mummy!
Achilia mbali mambo ya kikatiba, he kwa akili tu ya kawaida unaonaje?Mwenye uhalali ni wa states 30 kama katiba yao inaelekeza hivyo
Naona wewe huelewi kabisa concept ya "Electoral College Votes", ila kwa kuwa wewe sio mwamerika sio kitu, wao wanafamu umuhimu wa kupata kura kwa kuangalia uwiano wa States badala ya kupata kura nyingi ktk eneo moja tu ya nchi.wamerekani kama wamerekani hawakumchagua trump.. kwa wingi wa kura za wananchi alishinda Clinton ila trump akabebwa na elector colledge votes.... syteam ambayo naona inapingana na demokrasia wanayoipigia kelele
Shr was like..BTW Yule bibi alikuwa hana sababu nyingine ya kuwa rais zaidi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa USA...Afadhali Trump alikuwa anasema "Make Amerika Great Again".
These are mere propaganda, the US has the efficient and effective system of checks and balances unavailable anywhere in the world.Come on read this from an american writer
10 Ways to Tell if Your President Is a Dictator
Just because the United States is a democracy now, it doesn’t mean it will stay that way.
Given what is at stake, one of the most important things we can all do is remain alert for evidence that Trump and those around him are moving in an authoritarian direction. For those who love America and its Constitution more than they love any particular political party or any particular politician, I offer as a public service my top 10 warning signs that American democracy is at risk.
1. Systematic efforts to intimidate the media.
2. Building an official pro-Trump media network.
3. Politicizing the civil service, military, National Guard, or the domestic security agencies.
4. Using government surveillance against domestic political opponents.
5. Using state power to reward corporate backers and punish opponents.
6. Stacking the Supreme Court.
7. Enforcing the law for only one side.
8. Really rigging the system.
9. Fearmongering.
10. Demonizing the opposition.
The bottom line: I am by no means predicting the collapse of democracy in the United States under a President Donald J. Trump. What I am saying is that it is not impossible, and there are some clear warning signs to watch out for. Now, as always, the price of freedom is eternal vigilance. Or to use a more modern formulation: If you see something, say something.
But Steven, the writer, has made a relief and cautioned, that I quote: " The bottom line: I am by no means predicting the collapse of democracy in the United States under a President Donald J. Trump. What I am saying is that it is not impossible, and there are some clear warning signs to watch out for. Now, as always, the price of freedom is eternal vigilance. Or to use a more modern formulation: If you see something, say something".These are mere propaganda, the US has the efficient and effective system of checks and balances unavailable anywhere in the world.
With that system in place, coupled with the existence of strong democratic institutions, it's not possible for dictatorship to ever exist in the US.