mtoa hoja kanishangaza sana wewe masuala ya USA yanakuhusu nini?president Trump ni rais wa Amerika elewa hivyo na kwa taarifa yako he is doing a very good job kiuchumi,jiulize rais wa kwako ameifanyia nini nchi yako?kila kikicha ni kupokea wapinzani as if ni wakimbizi kutoka nchi nyingine!!