Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Msuli wa Advance ogopa sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haujawahi mwacha mtu salama
Kuna majamaa yanakua yanajaza wengine hofu, ni kweli msuli wa Advance ni mgumu na usipokaza Necta wanakula kichwa ila sasa kuna mijamaa mingine inapiga msuli mpaka wewe usiyeendana na kasi yao unajihisi ushafeli[emoji23]
That time kuna mijamaa ilihamia Dinning Hall na matranka ya materials na vyombo vyao vya chakula yaani wao ni kusoma Non-Stop
Kwa wazembe kama mimi aisee lazima udate maana jamaa unaishi nae room moja but kumuoa ni nadra, anaamka bado umelala, utamuona kwenye foleni ya msosi zaidi ya hapo unaweza kumuona saa kumi usiku akiwa anarudi bwenini kulala wakati huo wewe unaenda toilet kukojoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]