Hivi Kwanini tunawapa wanawake hela?

Hivi Kwanini tunawapa wanawake hela?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,693
Reaction score
57,158
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
 
Hahaha..eti kwa akili zangu zote
Inategemea mkuu mi sitoi hela..
 
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Wewe dem kama Kimnana utaachaje kumpa hela kwa mfano?
 
Kama huoni umuhimu wa kumpa hela usimtafute kaa na nanihii zako kama utaweza
 
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Siku utakuja kuuliza kwa nini Wanawake wana zaa.
 
Hehehehehe
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
 
Kumbuka sio lazima pia. Endelea kujiuliza wakati wenzio wanatupa
 
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Siyo lazima hela,unaweza kuwapa hata mchele,maharage,viazi,chumvi,sukari n.k.yakaisha..
 
Waafrika ndio tunaongoza kwa hii tabia ya kizamani,ya kuwaendekeza wanawake kama watoto yatima,mimi binafsi ujinga kama huo nilishakataa,mbn wanawake wanaojielewa hawana hayo mambo?
 
Wazee wenzangu hili swali nimejiuliza Sana kwa muda mrefu Tena kwa akili zangu zote mpaka Sasa hivi sijapata jibu.kwanini tunawapa hela wakati kwenye mapenzi raha anayopata yeye ndio raha ninayopata mimi.
Mnawapa pesa kwa ajili ya kununua zile nywele za maiti wanazovaa kichwani,
Nasikia zile nywele ni ghali sana kwasababu kumvua maiti nywele ni gharama kubwa mixxer kuwahonga mortuary attendants.
 
Yaani nishajizuia kutoa pesa ila nishashindwa yaani kila kukicha ndio nazidisha kutoa kwa shemeji yenu...

Ama kweli papuchi ina nguvu zito sana...
 
Hivi Lile sakata la korosho kule mtwara liliisha isha vipi wakuu???
 
Back
Top Bottom