Hivi Kwanini tunawapa wanawake hela?

Hivi Kwanini tunawapa wanawake hela?

Hahaha..eti kwa akili zangu zote
Inategemea mkuu mi sitoi hela..
Hutoi hela mkuu? kwa hiyo Falsafa ya kuku-ndege iko juu sana kuliko wewe!

Tafakari maisha ya ndege km kuku japo sijui km umewahi fuga, but hata kuangalia Wild animals National parks ni nyingi tu.

Jogoo lazima ampe Mtetea, riziki ya mdudu aliyemkamata, hata kwa kumuita popote alipo aje akule. but jogoo by the time hali, anafunga ajili ya mtetea. hata ukiwapa chakula jogoo husubiri au hula kwa kumpa kipaumbele sana mtetea.
Ki imani tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, tumiliki, kusimamia na kutoa, yeye Mungu anatupa tu pamoja na maudhi kibao.
Watu woote unao waona kwenye mashughuli pale K/koo shimoni nk, km matingo, wapemba, madereva, ni kwa ajili ya wanawake zao nyumbani / na michepuko yao. siyo wao kama wao wanaozitumia hizo hela funguka kabla hujazeeka.

Kijana wa kiume lazima ujifunze kutoa/honga kabla ya kuoa mke!

mpe hela/ huduma zote, bila kujali maudhi yake, mpaka anenepe! akirogwa tu akapata kiburi na siku akikuacha akutane na mwanaume mwene tabia km wewe! akukumbuke vizuri, km hajakuja kuomba kuwa mke wa pili tena kwa kukuhonga yeye na magoti juu.
 
Back
Top Bottom