Hivi kwanini Tanzania mafuta hayashuki bei?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,127
Reaction score
24,429
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi

Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao

Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana

Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu

Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani kweli?
 
Viongozi wengi ni wafanyabiashara pia hapa ndiyo changamoto ilipo na wengi wanafanya biashara hizo wanamiliki vituo vya mafuta, biashara za usafirishaji, mazao nk hawawezi kukubali kupata hasara mkuu, watatumia kila mbinu ili mradi biashara zao zifanikiwe hata kama wananchi wanaumia
Ukitaka kuona hilo kuna kipindi bei ya mafuta ilipanda sana ndani ya wiki kadhaa ewura wakapandisha bei ya nauli kwa maneno gharama za usafirishaji zimekuwa kubwa kikapita kipindi cha takribani miezi kadhaa mafuta yakashuka bei tena sana ila hatukuona bei kushushwa ewura wakapata ububu na ukoma hawakusema wala kuandika kushusha bei mpk leo
Kwa hiyo utagundua mzigo ukiwagusa wao utaona namna wanavyoreact faster ila ikiwa ni kwa raia no one cares
 
Wewe inchi inaongozwa kutokea msoga unategemea chochote chema kweli hapo
 
Duuuuh kumbe
Viongozi wengi ni wafanyabiashara pia hapa ndiyo changamoto ilipo na wengi wanafanya biashara hizo wanamiliki vituo vya mafuta, biashara za usafirishaji, mazao nk hawawezi kukubali kupata hasara mkuu, watatumia kila mbinu ili mradi biashara zao zifanikiwe hata kama wananchi wanaumia
Ukitaka kuona hilo kuna kipindi bei ya mafuta ilipanda sana ndani ya wiki kadhaa ewura wakapandisha bei ya nauli kwa maneno gharama za usafirishaji zimekuwa kubwa kikapita kipindi cha takribani miezi kadhaa mafuta yakashuka bei tena sana ila hatukuona bei kushushwa ewura wakapata ububu na ukoma hawakusema wala kuandika kushusha bei mpk leo
Kwa hiyo utagundua mzigo ukiwagusa wao utaona namna wanavyoreact faster ila ikiwa ni kwa raia no one cares
 
Biashara ya mafuta hawataki hata wapate hasara Nchi nyingi bei ni sawa iwe mkoa huu au mwingine Tanzania wameshauri bei ya mafuta iwe inaongezeka kutokana na Km zinavyoongozeka ila ukienda Zambia utakuta bei ipo sawa na Daslm huku kwetu ni ujambazi tunafanyiwa..
 
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi

Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao

Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana

Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu

Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani kweli?
Kati ya watu wapumbavu na punguani katika nchi hii, miongoni mwao anayeongoza ni yule aliyekaa na kuwaza kwamba kila mwanzo wa mwezi kuwekwe bei mpya ya mafuta. Yaani hata kama shehena iliyoingizwa kwa bei fulani haijaisha tunaweka bei mpya, ili iweje. Wakati awamu ya tano chini ya mwavuli wa awamu ya sita imeingia madarakani tu tuliambiwa mafuta yamepanda bei right on time pindi huko duniani bei ilipopanda. Yaani siku ileile bei ilipopanda kwenye soko la dunia ndio siku hiyohiyo bei ilipanda kwenye vituo vyetu vya mafuta. Nilijiuliza maswali mengi mojawapo ikiwa kumbe mafuta yanaweza kusafirishwa kutoka huko duniani hadi tanzania ndani ya masaa 12?
 
Ili Bei ushike unatakiwa kuwepo na uadimu...stock yote ya Bei kubwa iuzwe...alafu mzigo mpya uingie sokoni na Bei mpya...la sivyo Kuna watu watapata hasara na kudanganya hii nimenunua Bei kubwa kumbe la hasha
 
Mfuta yat
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi

Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao

Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana

Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu

Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani kweli?
Supply and demand hamna upinzani lazima wapange beii.. Ukifanya biashara ukiona wee ndo mtawala unafanya lolote tu..
 
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi

Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao

Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana

Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu

Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani kweli?
Week iliyopita nilikuwa Malawi, kule wanauza lita moja ya petrol ni Tsh 1700+ ya kibongo. Nikabaki nashangaa tu
 
Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi

Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao

Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana

Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu

Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani kweli?
Shangaa pia kwenye Saruji...Dangote alifanya saruji tulinunua mpk elfu kumi kwa mfuko....jiwe akamfanyia figisu
 
Viongozi wengi ni wafanyabiashara pia hapa ndiyo changamoto ilipo na wengi wanafanya biashara hizo wanamiliki vituo vya mafuta, biashara za usafirishaji, mazao nk hawawezi kukubali kupata hasara mkuu, watatumia kila mbinu ili mradi biashara zao zifanikiwe hata kama wananchi wanaumia
Ukitaka kuona hilo kuna kipindi bei ya mafuta ilipanda sana ndani ya wiki kadhaa ewura wakapandisha bei ya nauli kwa maneno gharama za usafirishaji zimekuwa kubwa kikapita kipindi cha takribani miezi kadhaa mafuta yakashuka bei tena sana ila hatukuona bei kushushwa ewura wakapata ububu na ukoma hawakusema wala kuandika kushusha bei mpk leo
Kwa hiyo utagundua mzigo ukiwagusa wao utaona namna wanavyoreact faster ila ikiwa ni kwa raia no one cares
Sijui kwanini huwa wanakurupuka kupandisha nauli utadhani mafuta hayatoshuka milele....na yakishuka nauli zinabakia palepale...Nchi hii!!
 
Back
Top Bottom