Mnisaidie kwa hili, sahivi nchi nyingi zina mafuta hata hawajui wayapeleke wapi
Na nchi nyingi wanazidi kugundua mafuta kila uchwao
Na nchi nyingi mafuta yameshuka bei sana
Hapa kwetu bei inazidi kupanda tu
Hivi hii nchi ina laana gani? Hawa maccm ni wazima kichwani
Vijana tuamke tuanze kua vzr kwnye biashara tukisema tukae tusubir hamna maboreshoo..Week iliyopita nilikuwa Malawi, kule wanauza lita moja ya petrol ni Tsh 1700+ ya kibongo. Nikabaki nashangaa tu