Hivi kwanini serikali haikithamini chuo cha Ardhi licha ya kutoa wahitimu muhimu?

Vizuri sana mkuu

Huyo jamaa hajielewi ameshindwa kuelewa kuwa ile hela ni hela za wananchi tunazolipia kodi
Kodi umelipa kiasi gani mpaka sasa ndugu? una documents zozote za kuthibitisha kuwa wewe unalipa kodi? Imefika hiyo 10 Bilioni Tshs. ambayo UDSM "wamepewa"?
 
Back
Top Bottom