Hivi kwanini serikali haikithamini chuo cha Ardhi licha ya kutoa wahitimu muhimu?

Unaleta masikhara kwenye ishu serious ishu ya mademu imeingiaje hapa?

Na hili ndilo tatizo kubwa la kuruhusiwa watoto kuchangia ishu nyeti kama hizi.

Usipanick kaka, nilikuwa natania tu.

Mfateni JK atawapa hata tubilion 2 mtengeneze za kwenu.
 
Haya toto kacheze na wenzako tuachie baba zako tujadili masuala ya msingi.

Nakumbuka kuna thread moja iliwahi kuwekwa humu kwamba ni JF pekee mtoto anaweza kubishana na baba yake tena kwa kumpiga bit na maisha yakaendelea tu.

Kila la kheri mkuu.
 
Wewe ndio haupo timamu tena haujui kinachoendelea

Ina maana hata hizo bilion 10 walizopewa UD nazo hauzijui?
Ndio maana umeambiwa Ardhi University itengeneze BRAND yake kupitia WAHITIMU & TAFITI zao ili iwe rahisi kupata fedha za kuendesha chuo badala ya kutegemea RUZUKU toka SERIKALINI tu. Case ya UDSM na 10 bilion ni tukio moja katika elfu moja. By the way aliyetoa 10 bilioni ni mhitimu wa UDSM kuanzia Shahada ya Kwanza mpaka ya Tatu, na si Ardhi University kuna ubaya kutoa kwa chuo ulichosoma (Alma Mater)?
NB: Dunia ya sasa lazima kutafuta pesa si kusubiri kupewa, Mbaneni Chancellor wenu atumie ushawishi wake (kama anao) kupata pesa za kujenga hosteli.
 
Ardhiii Ardhiii Ardhiii bongee la chuo lenye fani ambazo huwezi lala njaa hata siku 1

NAWAONEA HURUMA SANA HAO QUANTITY SURVEYORS WATAKAOZALISHWA UDSM MWAKA HUU

Watakuwa FAMBA kuliko mawlezo
 
Ardhiii Ardhiii Ardhiii bongee la chuo lenye fani ambazo huwezi lala njaa hata siku 1

NAWAONEA HURUMA SANA HAO QUANTITY SURVEYORS WATAKAOZALISHWA UDSM MWAKA HUU

Watakuwa FAMBA kuliko mawlezo
jionee huruma wewe ambae huna cha kufanya unashinda JF kusifia chuo badala ya mafanikio yako binafsi.
 
Kwa ninachokielewa ni kwamba hizo hostel zitaendelea kujengwa pia katika chuo kikuu Ardhi.....hivyo ni kuvuta subira tu..ingawa kiukweli ukweli....Miundo mbinu ya chuo kwa ujumla ina kasoro nyingi.......though sijajua vigezo vya chuo mpaka kinaitwa CHUO KIKUU lakini kwa Ardhi pale pana changamoto kubwa. Ilibidi ifanyike review kuona kama ilistahili kuwa chuo kikuu.....
 
Watalaamu kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi hawaitajiki kwani ndio chanzo cha migogoro, wameshindwa kupanga Na kusimamia miji?, wameshindwa Kupima viwanja , maafisa Ardhi ndio wala rushwa hakuna haja ya kuwa nao
 
Ndio maana umeambiwa Ardhi University itengeneze BRAND yake kupitia WAHITIMU & TAFITI zao ili iwe rahisi kupata fedha za kuendesha chuo badala ya kutegemea RUZUKU toka SERIKALINI tu. Case ya UDSM na 10 bilion ni tukio moja katika elfu moja. By the way aliyetoa 10 bilioni ni mhitimu wa UDSM kuanzia Shahada ya Kwanza mpaka ya Tatu, na si Ardhi University kuna ubaya kutoa kwa chuo ulichosoma (Alma Mater)?
NB: Dunia ya sasa lazima kutafuta pesa si kusubiri kupewa, Mbaneni Chancellor wenu atumie ushawishi wake (kama anao) kupata pesa za kujenga hosteli.
Unamaanisha hiyo pesa Alitoa mfukoni kwake!?
 
Wafute ndio ,kwa sababu wanakithamini chuo kimoja tu

Embu jaribu kufikiria chuo cha Ardhi mabweni yao hayana uwezo wa kubeba wanafunzi wanaozidi mia tano lakini serikali wamekaa kimya tu lakini UDSM tatizo la mabweni sio kubwa lakini wameongezewa mengine wewe unaona hii ni haki kweli?

Chuo cha ardhi hata maji tu nayo ni shida ,majengo yamechakaa ile mbaya,Computer lab ,Computer zipo chache

Yani kwa kifupi Aru kuna matatizo mengi saana .
Kwani huwezi kuzungumzia matatizo yenu bila kutaja UDSM?
Sasa jiulize UDSM ina dahili wanafunzi wangapi na mabweni yako Mangapi?
Yaani unataka kulinganisha UDSM kwa idadi ya wanafunzi na chuo cha ARU?
Hapo ARU mnafika wanafunzi 18,000?
 
Back
Top Bottom