Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,993
- 23,325
Kwa kibinadamu 'wivu' ni hisia zinazozalishwa baada ya kupigwa tukio, kwa mfano utakapokiona kinyago ulichokifinyanga ama kinyago cha mpapure ulichokichonga kwa mikono yako kinaanza kuvimba ndani ya nyumba na kukuletea za kuleta.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
nimesema wivu sio kinyongo na mtu mpaka awe na hicho kinyongo huwa akili yake haipo katika kufanya kazi.Kwa kibinadamu 'wivu' ni hisia zinazozalishwa baada ya kupigwa tukio, kwa mfano utakapokiona kinyago ulichokifinyanga ama kinyago cha mpapure ulichokichonga kwa mikono yako kinaanza kuvimba ndani ya nyumba na kukuletea za kuleta.
Kinyago ulichokifinyanga kwa madhumuni let say ya mapambo ya sebule, leo unakuta kimeshuka na kwenda jikoni kula misosi ambayo mama alikuwekea.
Wakati kinyago hicho haujashea na mtu kukifinyanga, ulikibhumba mwenyewe peke yako na kwa utashi wako.
Je utapoanza kuona kimeanza kujitambua na kukusumbua ama kujilinganisha na wewe, si utakivunja vunja na habari iishie hapo?
Hakuna Mungu aliyeumba mtu.Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
kwanini mungu alituumba sote akawa yupo kwa israel tu/Hakuna Mungu aliyeumba mtu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ninyi ndio mmeumba dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.
Kwa nini mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo?Unapoandika jina la Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo tofautisha na miungu wengine kwa kuanza na Capital letter M au tumia capital letter MUNGU
Uko sawa, naposema mtu aliumbwa kwa mfano wa mungu namaanisha mtu(nishati).kwani ukichukua sura yangu,yako na wengineo unaweza kujua au kufahamu ukubwa,rangi,nafasi,idadi ya SURA yake?
me najua kuwa kasema hivyo kwa sababu hafananii kwa mfano wetu wa sura wala tabia ila mungu labda tuawmw ni nguvu untouchable,invisible,unseen but you can feel it by your subconscious mind.
Thibitisha kuwa hayupoHakuna Mungu aliyeumba mtu.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Ninyi ndio mmeumba dhana ya kufikirika na kuiita Mungu.
Hakuna mungu aliyeumba binadamu.kwanini mungu alituumba sote akawa yupo kwa israel tu/
Je neno Mungu linamaana gani kwako?Hakuna mungu aliyeumba binadamu.
Binadamu ndio wameumba dhana ya kufikirika na kuiita mungu.
Kutokuwepo kwake ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.Thibitisha kuwa hayupo
Nimeomba unithibitishie kuwa hayupo, wewe unasema hawezi kuthibitika na kwamba huo ni uthibitisho tosha. Sasa hapo mbona bado hijaeleweka mkuu.Kutokuwepo kwake ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.
Na hawezi kuthibitishika kwa namna yoyote ile kwamba yupo.
Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.
Dhana ya kufikirika tuJe neno Mungu linamaana gani kwako?
Mtu mwenyewe.Chanzo cha mtu ni nini?
Mwili na viungo vyake.Muundo wa mtu ni upi?
Naomba unisaidie nielewe majibu ya hayo maswali mkuu.
Sawa ila inaonesha huna uhakika na majibu yako, kama kweli toa reason yenye kuwa na ushawishi.Dhana ya kufikirika tu
(fictional character) sawa na neno Pwagu au Pwaguzi.
Mtu mwenyewe.
Mwili na viungo vyake.
Unataka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo?Nimeomba unithibitishie kuwa hayupo, wewe unasema hawezi kuthibitika na kwamba huo ni uthibitisho tosha. Sasa hapo mbona bado hijaeleweka mkuu.
Ndiye huyohuyo! Mungu wa babu yangu Adam na bibi yangu Eva.Mungu wa babu yangu Ibrahimu. Mungu wa babu yangu Isaka na Yakobo!Kwa nini mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo?
Na sio mungu wa mababu zako wa kiafrika kina malundi, magina, massawe, kimei, mwansozwe, Mollel?
Wewe mwenyewe hapo hauna akili! Kama unabisha thibitìsha 😄Kutokuwepo kwake ni uthibitisho tosha kwamba hayupo.
Na hawezi kuthibitishika kwa namna yoyote ile kwamba yupo.
Huu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.
kitu hakipo unakithibitishaje?ebu wacha ujinga basi.Nimeomba unithibitishie kuwa hayupo, wewe unasema hawezi kuthibitika na kwamba huo ni uthibitisho tosha. Sasa hapo mbona bado hijaeleweka mkuu.
Akili ni nini?Wewe mwenyewe hapo hauna akili! Kama unabisha thibitìsha 😄
Fictional character maana yake ni kutokuwepo?Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu wa kwenye Biblia na maandiko yote ya kidini ni Fictional character sawa na Abunuwasi wa kwenye Hekaya.
Mungu ana ongelewa na binadamu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe..