Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
kwani tabia yako na mungu zinafanana?Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.kwani tabia yako na mungu zinafanana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
kwani ukichukua sura yangu,yako na wengineo unaweza kujua au kufahamu ukubwa,rangi,nafasi,idadi ya SURA yake?Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
na tumuumbe mtu kwa mfano wetukwani tabia yako na mungu zinafanana?
why?au mungu ni herufiUnapoandika jina la Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo tofautisha na miungu wengine kwa kuanza na Capital letter M au tumia capital letter MUNGU
labdana tumuumbe mtu kwa mfano wetu
Jina la MUNGU linapaswa kuheshimiwa sana. Pia ili kutofautisha na miungu wenginewhy?au mungu ni herufi
nashangaa sana bibilia inavyomuelezea mungu as if binadamu utakuta andiko linasema upon wapi wewe adamu,na adamu akaitika niko hapa mungu wangu.Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.
Huo mnara kabla haujajengwa angeshatambu mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.
Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
naona stori za kusadikika tu..ila akili unapoijengea kitu nayo hukupeleka huko huko.
Hizi dini na uwepo wa Mungu ni uongo uliotukuka.nashangaa sana bibilia inavyomuelezea mungu as if binadamu utakuta andiko linasema upon wapi wewe adamu,na adamu akaitika niko hapa mungu wangu.
mda mwengine wanasema mungu alikuwa anatembelea bustani...this is human behaviours