Hivi kwanini mpenzi wangu hanipendi?

Nimesoma vizur ila nilipofikia hapa ckutaka kuendelea maana umenichefua
.

"""sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu"""
Mkuu wewe hujamwelewa mleta mada,yuko mauzoni yaani biasharani,jifunze basi na wewe kusoma alama za nyakati
 
Mtu hapendwi eti kwa sababu kwao ni matajiri,pia unaonekana una majisifu kaka,kuwa na pesa,USO mzuri,mwili wa mazoezi sio kigezo kitakachokufanya upendwe na kula msichana,ni moyo wa mtu ndio huamua aende kwa yupi,huoni mtu anamuacha tajiri,na anampenda asiye na kitu,hii yote ni kwasababu ya moyo wake umemchagua huyo asiye na kitu na kumuacha huyo mwenye pesa zake.
 
Duuu!!!Kumbe mademu wanafaidi kwa watoto Wa vibopa,sisi wengine mizinga mwisho buku,ikizidi tunapigana vibuti .Ila hats hivyo bro we boya samahani lkn ,nimejiona nimemind tu ,mademu wapo kwa ajili yetu kwanini akupelekeshe???
 
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Inabidi nicheke kwanza
Maana thread yako
Imenifurahisha mno.

Pole kwa yaliyo kukuta
Huyo jamaa wa kwanza wa huyo demu
Alikuwa sahihi ila sio sana.

Pesa mpe mwanamke ila isizidi kiwango

Na nimechukizwa na wewe kushindwa
Kuonesha msimamo dhabiti kwa
Huyo demu, atakuendeshaje
Huyo mwanamke,

You have to be a gangsta
You have to act like a gangsta...

Watoto wakishua mnalia lia kila siku
Kuhusu kuumizwa na mademu...

Huyo demu kwa kuwa alikuwa rafiki
Yako ndio maana amejua udhaifu wako

Ndio maana anakufanyia vituko

Your a man
Be strong like a man
Act like real men....
Be a gangsta.....
 
Tanzania kuna watu wanajua kutunga khaaa. Nenda mwananchi upewe kitengo cha utunzi. Chukua na Pepsi bariiidi kwa mangi nakuja kulipa
 
Hata kama una hela kiasi gani
Usipende kujisifu na kujionesha
Halafu kiwango cha pesa unapo mpa mwanamke isizidi
Hata uwe na hela Nyingi

Usiwe bahili bali mpe kwa sababu na misingi ipi

Bahati yako huyo demu
Nae wakishua
Ungekutana na watoto wa mbwa
Ungeuza gari na ya bro wako.

Kuwa na misimamo
Mtoto wa kiume

Sasa hapo tukupe ushauri upi wakati mmeachana
Au ushauri jinsi ya kumrudia
Tena.......

Be a gangsta .........
 
mm sina gari natumiaga magari ya home tu
 
Dogo unajisifia sana. Unaongelea stori za kumuhonga demu laki tano ili tukuone wa kishua ama
 
sasa kama ungekuwa wewe unge weza kumnyima?
We bado mtoto. You spend you last dime kumu impress mwanamke? Unatakiwa uwe na misimamo ya kiasi gani utaspenda kwao. Yaani unampa mpaka nauli yako ya kurudi nyumbani wewe utakuwa bado una mambo ya kitoto na unaishi na wazazi ndo maana upo very irresponsible. Hivi mmefunga shule au bado?πŸ˜€πŸ˜€ Ukiwa na akili za namna hiyo utakufa maskini. Inaonekana hata hao wazazi wako ni middle class tu sasa mbona unataka kuishi kitajiri wakati wewe si tajiri?
 
Mm mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza
 
nilijua tu. You need to stop that nonsense..Jifunze kuwa bahili. Mademu wapo tu usiwaendekeze watakuchuna sana dogo
af pia mm sio dogo kiasi hicho mkuu ,nimepiga kura mara mbili 2010 na 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…