Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,677
- 9,035
ila yanga ndo Kuna kitu kimataifa?kwani nyie bado mna ndoto mwaka huu za kufika robo fainali??
kama unaota basi amka mkuu makolo hamna kitu msimu huu si kitaifa si kimataifa
ila yanga ndo Kuna kitu kimataifa?kwani nyie bado mna ndoto mwaka huu za kufika robo fainali??
kama unaota basi amka mkuu makolo hamna kitu msimu huu si kitaifa si kimataifa
TFF kama CCM tu hakuna cha maana walichoifanyia nchi hii toka uhuruTimu lisiloeleweka lishatolewa hatua za awali huko caf. Unaongelea mifano ya ulaya wakati timu lako hayaishi hata robo tu ya huko ulaya.Timu lako linaamini ushirikina kwa kutopita geti rasmi kuingia uwanjani. Utopolo wacha kulia lia TFF wanajua wanacho kifanya.
Mwakani mtaingizwa Kwa tiketi ya Nani?sie mwakani wakati tutakapoenda hadi fainali{sikulazimishi kukubali} hatutotaka huu upuuzi
zilipendwa hizo mkuu hako kamlio utakaona kero kwa hiyo aibu mtakayotuletea kwenye makundi.Ila kamlio ka Anthem ya mechi za klabu bingwa katamu. Kuna jamaa zetu wanakasikia kwa jirani tu
Mmetolewa kwa ajali wapi wakati mlijipanga zaidi kwa ajili ya ngao ya jamii na sio mechi za klabu bingwa manyani mna shida sanasie tumetolewa ila nyoyo zetu bariiiiid kwa sababu tunajua timu yetu ni bora kuliko rivers kutolewa ni ajali tu kama ajali iliyowakuta nyie kwa UD Songo japokuwa mlikuwa na timu nzuri msimu ule
Leo ndo nimeamin kumbe Kweli Ni Kikwete Na Mzee manala Tu Hakuna mwinginesie tumetolewa ila nyoyo zetu bariiiiid kwa sababu tunajua timu yetu ni bora kuliko rivers kutolewa ni ajali tu kama ajali iliyowakuta nyie kwa UD Songo japokuwa mlikuwa na timu nzuri msimu ule
Kwa hiyo una maanisha katika timu zinazo vaa jezi za njano, ni yanga peke yake ambayo ni mbovu?Hivi unajua kwamba mamelodi wanavaa jezi za njano kama brazili au kama yanga
Huyo ninsigara kali, leo atasema hivi kesho atapinga alichokisema jana
Maneno ya mkosaji hayazilipendwa hizo mkuu hako kamlio utakaona kero kwa hiyo aibu mtakayotuletea kwenye makundi
simba ya mwaka jana ndo ina hadhi ya kucheza klabu bingwa
Hii simba ya msimu huu hata shirikisho haiwafai
labda kidogo mapinduzi cup mana mabingwa kule tutapeleka kikosi cha pili
Tatizo Yanga hamkutaka kujua nini kinawafanya Simba wasicheze wakiwa na mechi za Kimataifa. Mngejitahidi basi hata kufika round ya 1!TFF naona wameanza kuwaandalia mikia viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko Jwaneng Galaxy [huu ndo ukweli japokuwa shirikisho linaonekana kombe dhaifu kuliko klabu bingwa]....