Ntumie copy mzeiya πUkipata muda pita humu kitakusaidia sana hiki kujibu swali lako kwa kiasi flani
View attachment 1157418
Mhh huyu mama nae huyu...!!
πππππ hii hutokea sanaNa kwanza ndugu naamini wengi wapo pamoja kwakuwa hawajapata wanayemhtaji....!!wanawake n wanaume huenda na hitaji lilipo..!!
Kuchokana n dalili ya kuw kuna mmoja ameshapata upenyo...!!dharau n kiburi hfuata kisha break up
Out of topic
Hakuna kipindi ambacho girls wanarudi kwa maEX zao kwa kasi ya 4G kama kipindi hiki
Just hii ni kama walipendwa lkn hawakuona hilo
Na huko walipoenda wamekutana na mapopo wala mabungo
Hahah huyo mwamba is my all time fave musician and lyricist.
Lakini sidhani kama vyote vinatosha kuua penzi, si kuna kusameheana?Kinachoua mapenzi ni mapenzi kuisha kati ya mmoja ama wawili waliowahi kupendana
Hapo sababu za kuisha kwa mapenzi ndio kuna factors nyingi kama kina usaliti,migogoro ya kila mara,umbali na mengine mengi
Ntumie copy mzeiya
πHakukuwa na mapenzi Kati yenu... Mliongozwa na tamaa tu
Lust na love ni vitu viwili tofauti,.ππmimi wangu nilimtema sababu tulipishana mwaka mmoja kuzaliwa,.mimi nawaza hivi yeye awaza vile dah!!!!Lust huwa ni tofauti na love? Mbona kama vyote hupita njia moja?
We unahisi chanzo cha kutemana na X wako kilikuwa lust?
Mzigo huu hapa mzee wa kazi utakuongezea vitu flani flani hiviLust huwa ni tofauti na love? Mbona kama vyote hupita njia moja?
We unahisi chanzo cha kutemana na X wako kilikuwa lust?
Nshazoea wazee wa busara bhanaaa...wananichallenge balaa kila idara,.sasa yule agemate daah!!!! Bora nilivyomuhama aseeπ πhahahaha kwahio umri ndio ulikufanya umuache mwenzio? We hukumpenda huyo