Hivi kwanini Maras na Vipara huwa hawapatani?

Hivi kwanini Maras na Vipara huwa hawapatani?

kwa sababu maras waliiba nywele za wenye vipara ndo maana wenye vipara wanakua wakali wakitaka nywele zao
 
rasi anajiona yeye ndiyo kila kitu.. upara yeye anataka kuona jamaa shoga kisa anaenda saluni kuoshwa kama demu
 
Kwa sababu wenye vipara hawana akili.....si unajua kuwa akili ni nywele.........
 
Ras ni utaratibu furani wa maisha. Lkn kipara ni maumbile tu. Kuna mwenye kipara lkn anaamini ktk jah (mungu wa Maras)
 
Urasi ni moyoni sio nywele...na according to waasisi wa Rastafarianism ni kuwa Mtu mweusi yeyote mpenda amani ni Rastafarian....wazungu,wafilisi na wapenda vita ni babilonians

Mtu anaweza kuwa kipara ila real Rastafarian.
 
asante kwa somo zuri!
 
Ras anafanana na MziziMkavu
Kaka ndg yako anaonewa huku.
Teh..teh..teh..
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mfano tuu...
attachment.php

Kwa sababu kipara ni cha kutengeneza na Rasta pia ya kutengeneza ndio maana picha haziendi sawa
 
Watu vipara mara nyingi ndio huwa na dharau na ni mafisadi na wanyonyaji.

Chase those crazy bald heads.

I'n'I build a cabin
I'n'I plant a corn
Did'nt my people before me
Slave for this country
Now you look at me with that scorn
Then you eat all my corn
 
Back
Top Bottom