Mkuu ukizungumzia kufutwa maana yake hayatafanyika tena daima.
Ukirejea hilo gazeti la mwananchi linasema kwa mwaka huu. Kwa maana mwaka mwingine yatafanyika.
Kilichofanyika ni kusitisha maadhimisho kwa mwaka huu na kuelekeza fedha zilizotengwa katika mambo ya ugani/uboreshaji wa kilimo. Jambo lililofanyika kwa sherehe za muungano.