Hivi kwanini maonesho ya Nanenane yamefutwa?

Kama kuna ambaye anajua sababu ya kufutwa kwa maonyesho ya nane nae tujuze.Maonyesho haya yalikuwa ni fursa za kibiashara na sio fursa tu bali hata kuwa sehemu ya burudani kwa siku zile za maonyesho watu wakitoka na familia zao kubadilisha mazingira.Ninatamani sana yangerudishwa.
Burudani kwenye maonyesho ya Kilimo? Hakukuwa na Maonyesho ya kilimo bali gulio tu.
 
Kikatiba kilimo ni uti wamgongo ,kama wameona maonesho yamekua nguzo ya usambazaji waukimwi nibora wamestisha ..
 
Ni mambo ya kushangaza Sana,badala ya kuyakuza yawe kimataifa wao wanafuta.

Imagine Nanenane ya Mbeya ambavyo huwa inanoga,tena yalikuwa yanashirikisha nchi jirani
Usha wahi kuhudhuria maonyesho ya Kilimo hata na nchi jirani kama Ugana au Kenya? Au Zambia ay Malawi au Zimbabwe?

Nenda ikirudi utaona maonyesho yetu ni uhuni mtupu.Hakuna maonyesho pale
 
Bora tuwe na tisa tisa ambayo itajumuisha kilimo na viwanda = Biashara
 
Hayo ni.kama mwenge tu.

Maofisa kilimo na wasaidizi wao nchi nzima na maofisa biashara kila wilaya na.mikoa wangelamba per diem hawarudi na tija yoyote
 
Back
Top Bottom