Hivi kwanini Korodani zinawasha na kunuka?

Fungus au bacterial infections hiyo, kazi ndogo tu nyoa vuzi tumia dettol soap mwasho unaisha au tumia ant fungal creams
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣humu kuna dada wakati yuko O level boarding alikuwa hajui kama vuzi huwa linanyolewa. Sasa kwa shida ya maji pale shule walikuwa wakioga mtoni. Hivyo yeye alidhani ana maumbile tofauti au kilema 😂😂😂😂 ndiyo sababu ana vuzi kubwa kama msitu kuliko wenzie.

Hakuja kustuka hadi yuko kidatu cha tatu baada ya rafiki yake kumuuliza kwanini hapendi kunyoa? 🤣🤣🤣 Alikuwa hajui chochote kuhusu vuzi kunyolewa sasa imagine ukubwa wa vuzi tangu avunje uongo hadi kidatu cha tatu 😂😂😂😂😂😂 Alikuja humu kuhadithia huo mkasa wake. Siku ile nilicheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kuna msela wakati tupo form 1 uboyzini tunaoga nae jamaa alikuwa na vuzi ndefu zinalingana urefu na kidole gumba
yani zilikuwa nyingi zaidi ya nywele huenda ndio huyu mleta mada🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣humu kuna dada wakati yuko O level boarding alikuwa hajui kama vuzi huwa linanyolewa. Sasa kwa shida ya maji pale shule walikuwa wakioga mtoni. Hivyo yeye alidhani ana maumbile tofauti au kilema 😂😂😂😂 ndiyo sababu ana vuzi kubwa kama msitu. Hakuja kustuka hadi yuko kidatu cha tatu baada ya rafiki yake kumuuliza kwanini hapendi kunyoa? 🤣🤣🤣 Alikuwa hajui chochote kuhusu vuzi kunyolewa sasa imagine ukubwa wa vuzi tangu avunje uongo hadi kidatu cha tatu 😂😂😂😂😂😂 Alikuja humu kuhadithia huo mkasa wake. Siku ile nilicheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣hahahaha, kuna mmoja wakati tupo O level alikuwa anasuka kabisa huko chini
mwingine nimewahi kukutana nae ukubwani ana kiduku huko
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣humu kuna dada wakati yuko O level boarding alikuwa hajui kama vuzi huwa linanyolewa. Sasa kwa shida ya maji pale shule walikuwa wakioga mtoni. Hivyo yeye alidhani ana maumbile tofauti au kilema 😂😂😂😂 ndiyo sababu ana vuzi kubwa kama msitu kuliko wenzie. Hakuja kustuka hadi yuko kidatu cha tatu baada ya rafiki yake kumuuliza kwanini hapendi kunyoa? 🤣🤣🤣 Alikuwa hajui chochote kuhusu vuzi kunyolewa sasa imagine ukubwa wa vuzi tangu avunje uongo hadi kidatu cha tatu 😂😂😂😂😂😂 Alikuja humu kuhadithia huo mkasa wake. Siku ile nilicheka hadi machozi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu, kama uzi unaukumbuka weka hapa nikasome😂
 
Hii kiboko asee!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom