Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,015
Akili za shule za kata hiziUkiona hivyo ujue alikuwa anaongea utopolo mtupu,wakaona isiwe tabu
Akili za shule za kata hiziUkiona hivyo ujue alikuwa anaongea utopolo mtupu,wakaona isiwe tabu
Kuna ukweli sn hapoYaani chadema inaogopeka kinoma, ccm wamepiga simu mnyika asisike hewani
Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.
Sijapenda
Bado waandishi kwenye kivuli cha mekoNimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.
Sijapenda
ITV na Radio One ndiyo wakongwe wa radio na Television Tanzania. Ila wameamua kutobadilika wamebaki kama walivyoanza, wao wanaringia ukongwe wao tu. Wamekuja operators wengine kwenye habari wamewapita mbali sana, wao wamekuwa chuo cha kuwalea vijana na kuwapelekea media houses nyingine. its pity!!Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote .
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr.
Sijapenda
Hajaongea ukolo kama unavyowaza bali ameongelea CCM kutoa Rushwa ya cheo kwa jaji ambaye kashindwa kutafasiri PGO mahakamani, kuzawadiana vyeo pasipo kukidhi vigezo ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, jaji kiongozi anaenda kulipwa mshahara mkubwa utokanao na kodi za wananchi kwa kazi ya kuwaonea kuwabambikia kesi chadema ni Aibu kubwa na kinyume na haki za binadamuUkiona hivyo ujue alikuwa anaongea utopolo mtupu,wakaona isiwe tabu
kaanzishe TV yako kwani uliwasaidia kuwapa mtaji?ITV ni TV ya kihuni siku hizi, hopeless kabisa
Teh! Unauliza majibu?Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Shaibu kaongea bila interaction yoyote .
Ni kongamano la utu lililoandaliwa na NCCR.
Sijapenda
Magufulegacy inazidi kujitokeza katikaBado waandishi kwenye kivuli cha meko