Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Nimiaka Sasa bado wanaume wenye sura nzuri,ongea Yao na tembea Yao na mavazi huwadatisha wanawake hata watu wazee wanaume Kwa wanawake wanakushauri uolewe na Fulani nasio Fulani ambaye yupo yupo tu hata kama anahela .
Hii imekuwa inawagusa wanaume wengi kweli kwasababu hawavai nguo vyema. Au hawawi wasafi.
Inawatesa moyo hivi unajua kupendeza ndio kupata utakacho Kwa urahisi??🥰
Kama mnashusha mapovu fine.
Jingine unajua kuwa kila aliyenagari ni rahisi kufanikishia vitu kiasi Fulani??
Unakuta wewe ni msupuu ila Kisa wapanda Toyo unakaushiwa tu Wala Huna gundu