Hivi kwanini hakuna bima (Insurance) za kijamii kama Vikoba au Benki?

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,000
Habari za mchana waungwana,

Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA

Tumeona kuna taasisi, vikundi na makundi mengi yameanzisha mabenki na vikoba ili kusaidiana kifedha. Kwamfano wanajeshi wana saccos yao, Mapolsi wana Saccos yao, wapo wana vijiji, wapo wafanyakazi wanao fanyakazi pamoja wameanzisha saccos na vikoba ili kusaidiana kifedha. Wpo watu wameanzisha mpaka benki kama Mbinga Community Bank nk

Jambo ambalo sielewi ni kwanini model hiyohiyo haitumiki katika bima za kijikinga kwa majanga? Kwa mfano kwanini wafanyakazi wa mashirka makubwa yenye wafanyakazi zaidi ya 300 kama CRDB, Tigo, Aitel, NSSF, Vodacom au wanajeshi , mapolisi au wanakijiji fulani au watu wa mkoa fulani wanaoishi Dar es salaam wenye umoja wao wasiwekeane utaratibu wa kwamba kila mwana chama awe analipa kiasi fulani chafedha kila mwezi kama bima / kinga ya majanga fulani. Mnaweza kudefine hayo majanga yakawa kama 5 tu ili kulimit exposure. Mnaweza kusema kila mwanachama achange 50,000 kila mwezi kama bima ya ajali ya gari, moto wa nyumba au gari, kufiwa na mume au mke au mtoto na kupoteza ajira. na wakaandika kabisa yaani waka define ukipata janga lifuatalo utalipwa kiasi kifuatacho - choice is yours.

Ajali ya gari - million 5 (kama tutajiridhisha ajali ni genuine)
Moto wa nyumba - Million 10 (kama tutajirisha mto ni genuine)
kufiwa na mke au mume - million 5
Kufiwa na mtoto - million 3
Hasara katika biashara yako - million 7 (kama tutajirisha hasara ni genuine)
Kupoteza kazi/ ajira - million 7

Hii ni bima unayolipia premium ndogo nayo inakupa protection ndogo lakini ya uhakika

Just thinking out loud - ni kwanini hii model haipo katika jamii?
Tujadiliane
 
Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,724
2,000

Tatizo kuna upigaji mwingi sana, ila ni nzuri kama zikifanyika kwa uaminifu.
 
Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,000
Tatizo kuna upigaji mwingi sana, ila ni nzuri kama zikifanyika kwa uaminifu.
Ni kweli tatizo kubwa la bima ni udanganyifu lakini mkiwa community mnaofahamiana hiyo itapungu asana kama ilivyo katika vikoba. Huwezi kuwadanganya wafanya kazi wenzako umefiwa au nyumba yako imeungua
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,318
2,000
Habari za mchana waungwana,

Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA

Tumeona kuna taasisi, vikundi na makundi mengi yameanzisha mabenki na vikoba ili kusaidiana kifedha. Kwamfano wanajeshi wana saccos yao, Mapolsi wana Saccos yao, wapo wana vijiji, wapo wafanyakazi wanao fanyakazi pamoja wameanzisha saccos na vikoba ili kusaidiana kifedha. Wpo watu wameanzisha mpaka benki kama Mbinga Community Bank nk

Jambo ambalo sielewi ni kwanini model hiyohiyo haitumiki katika bima za kijikinga kwa majanga? Kwa mfano kwanini wafanyakazi wa mashirka makubwa yenye wafanyakazi zaidi ya 300 kama CRDB, Tigo, Aitel, NSSF, Vodacom au wanajeshi , mapolisi au wanakijiji fulani au watu wa mkoa fulani wanaoishi Dar es salaam wenye umoja wao wasiwekeane utaratibu wa kwamba kila mwana chama awe analipa kiasi fulani chafedha kila mwezi kama bima / kinga ya majanga fulani. Mnaweza kudefine hayo majanga yakawa kama 5 tu ili kulimit exposure. Mnaweza kusema kila mwanachama achange 50,000 kila mwezi kama bima ya ajali ya gari, moto wa nyumba au gari, kufiwa na mume au mke au mtoto na kupoteza ajira. na wakaandika kabisa yaani waka define ukipata janga lifuatalo utalipwa kiasi kifuatacho - choice is yours.

Ajali ya gari - million 5 (kama tutajiridhisha ajali ni genuine)
Moto wa nyumba - Million 10 (kama tutajirisha mto ni genuine)
kufiwa na mke au mume - million 5
Kufiwa na mtoto - million 3
Hasara katika biashara yako - million 7 (kama tutajirisha hasara ni genuine)
Kupoteza kazi/ ajira - million 7

Hii ni bima unayolipia premium ndogo nayo inakupa protection ndogo lakini ya uhakika

Just thinking out loud - ni kwanini hii model haipo katika jamii?
Tujadiliane
Makampuni mengi ya Bima yanakokotoa FAIDA wanza kabla ya kuwekeza, ndio maana huwezi kukta kampuni ya Bima inawekeza kwenye highly risky industry.

Siku za karibuni kuna PACKAGE moja ilianzishwa na NHIF kwa ajili ya Vikundi hasa VICOBA.

Ilikuwa mtu analipia Tsh 78,600 anapewa Bima ya mwaka mzima.

Lakini ikaonekana kuna watu pale wanapokuwa na matatizo, wanajiunga fasta kwenye hivyo vikundi kwa ajili ya Bima tu ( wakati Bima wao wanataka watu wachangie wakiwa wazima muda mrefu ).

Wakaamua kusitisha hiyo program.

So kama wewe una idea nzuri zaidi unaona namna ya kuboresha, siyo vibaya ukaanzisha.
 
Yaa i can see the challenge waliyopata NHIF ila nadhani inawezekana kuweka sheria za kumitigate hao wajanja. especially kama ni bima ya community meaning watu mnaojuana. Mnqweza kusema lazima uwe mwanachama mwaka mzima in order to be eligible to receive benefits

just thinking out loud
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,914
2,000
Habari za mchana waungwana,

Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA

Tumeona kuna taasisi, vikundi na makundi mengi yameanzisha mabenki na vikoba ili kusaidiana kifedha. Kwamfano wanajeshi wana saccos yao, Mapolsi wana Saccos yao, wapo wana vijiji, wapo wafanyakazi wanao fanyakazi pamoja wameanzisha saccos na vikoba ili kusaidiana kifedha. Wpo watu wameanzisha mpaka benki kama Mbinga Community Bank nk

Jambo ambalo sielewi ni kwanini model hiyohiyo haitumiki katika bima za kijikinga kwa majanga? Kwa mfano kwanini wafanyakazi wa mashirka makubwa yenye wafanyakazi zaidi ya 300 kama CRDB, Tigo, Aitel, NSSF, Vodacom au wanajeshi , mapolisi au wanakijiji fulani au watu wa mkoa fulani wanaoishi Dar es salaam wenye umoja wao wasiwekeane utaratibu wa kwamba kila mwana chama awe analipa kiasi fulani chafedha kila mwezi kama bima / kinga ya majanga fulani. Mnaweza kudefine hayo majanga yakawa kama 5 tu ili kulimit exposure. Mnaweza kusema kila mwanachama achange 50,000 kila mwezi kama bima ya ajali ya gari, moto wa nyumba au gari, kufiwa na mume au mke au mtoto na kupoteza ajira. na wakaandika kabisa yaani waka define ukipata janga lifuatalo utalipwa kiasi kifuatacho - choice is yours.

Ajali ya gari - million 5 (kama tutajiridhisha ajali ni genuine)
Moto wa nyumba - Million 10 (kama tutajirisha mto ni genuine)
kufiwa na mke au mume - million 5
Kufiwa na mtoto - million 3
Hasara katika biashara yako - million 7 (kama tutajirisha hasara ni genuine)
Kupoteza kazi/ ajira - million 7

Hii ni bima unayolipia premium ndogo nayo inakupa protection ndogo lakini ya uhakika

Just thinking out loud - ni kwanini hii model haipo katika jamii?
Tujadiliane
Aisee hili ni wazo zuri sana mkuu, sema biashara ya bima ni tricky kidogo kumbuka wanachanga kiasi fixed lakini risk wanazo insure ni kubwa kuliko michango yao kwahiyo sustainability yake sio rahisi kihivyo unless mtu awe beneficiary baada ya michango say ya miezi 6 ili pool ya compensation iwe kubwa kidogo.

Otherwise utakuta claims ni nyingi kuliko deposits zilizoletwa mwisho wa siku mfuko unajifia.

Unajua bima bado haijachukuliwa serious sana na nchi zetu za kiafrika sababu uwezo wetu wa mapato ni mdogo ndioa maana kuweka akiba bado ni suala gumu kidogo ila tukiwa na middle class kubwa hata mambo ya kuweka akiba na issue za bima zitakaa sawa.

Ila all in all wazo lako ni zuri sana kama litachukuliwa serious na kuendelezwa hta kma litakuwa kwa claims ndogo ndogo kma wizi wa simu n.k
 
Chief uko vizuri - hii kitu unaielewa vizuri sana

Ni kweli kama kitu kama hiki kikianzishwa itabidi watu walipe premiums kama mwaka kwanza ndio benefits zianze. Lazima watunishe mfuko kabla ya kuanza kuleta claims

Pia umepatia sana uliposema huku Afrika bima bado haijachukuliwa serious due to socio-economic status. Hii ni hatari kubwa sana kuishi maisha bila insurance. Kwamfano kwa watoto nadhani helath insurance should be mandaroty
 
Helios

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
573
500
Bima za ajali na moto zipo tayari kwenye makampuni ya bima. Labda bima za kupoteza kazi au hasara ya biashara ndo sijawahi sikia. Life insurance naona zinaanza kushika kasi pia bongo inasaidia kifo kikitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom