mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,258
- 1,541
Viatu vya wale watu wanao sema ukilleta wenzako wawili na wao wakaleta wawili utakua bilionea ndio vinafanya Watu tusiwaamin so vip chadema mnapo tuahid kua mtafanya Mambo makubwa Ambayo hamjawai kufanya katika maisha yenu???Watanzania hatuitaji majengo ya chama sio tunataka chama kiyasemee yale. yanayowahusu wananchi,kazi wanazofanya wabunge wa chadema wakiwa bungeni ni zaidi ya kuwa na hizo office,chadema ina jengwa mioyoni mwa watu hata ofisi ikiwa chini ya mti poa 2
Ccm bhn kumbe ndo maana nchi imewashinda miaka 60 toka Uhuru mna puyanga 2, kutoa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana ndo maana mmeshindwa nn?wafanyakazi kupandisha mishahara yao kama sheria inavyosema ni mzigo mzito kama zege kw ccm nn?Viatu vya wale watu wanao sema ukilleta wenzako wawili na wao wakaleta wawili utakua bilionea ndio vinafanya Watu tusiwaamin so vip chadema mnapo tuahid kua mtafanya Mambo makubwa Ambayo hamjawai kufanya katika maisha yenu???
Jibun ufipa kumewashinda kwa nn?Ccm bhn kumbe ndo maana nchi imewashinda miaka 60 toka Uhuru mna puyanga 2, kutoa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana ndo maana mmeshindwa nn?wafanyakazi kupandisha mishahara yao kama sheria inavyosema ni mzigo mzito kama zege kw ccm nn?,kuboresha kilimo ni kazi kubwa,? Kurudisha mzunguko wa pesa kitaa nako ni shida kwenu? Shame on u niga au chadema walikuahidi kukupeleka mwezini?
Kuwa na office nzuri hakumsaidii mwananchi wa kawaida zaidi ya viongozi,una IQ ndogo sana kama pilitoni na najua tatizo sio lako ccm ili wakutawale wanakunyima elimu ili usijitambue amka ww kizazi chako kitakuja kukulaumu kwa upumbavu wakoJibun ufipa kumewashinda kwa nn?
Una akili Dada na misikule ndio hivi una mkimbiza mtu mzima mwenye Dola na Kila kitu🤗Misukile itazaa na mtu Mwaka huu!Nani wakuhoji? Wanachama na wafuasi ni misukule,toka lini misukule ikawa na ufahamu,viongozi wako kama mchwa wanatafuna ruzuku/michango/makato ya mishahara ya wabunge chama kinamilikiwa na mtu/mwenyekiti wa kudumu ni saccos yake
Una akili Dada na misikule ndio hivi una mkimbiza mtu mzima mwenye Dola na Kila kitu🤗Misukile itazaa na mtu Mwaka huuNani wakuhoji? Wanachama na wafuasi ni misukule,toka lini misukule ikawa na ufahamu,viongozi wako kama mchwa wanatafuna ruzuku/michango/makato ya mishahara ya wabunge chama kinamilikiwa na mtu/mwenyekiti wa kudumu ni saccos yake
Ila mnaruhusu hiki, au?Watanzania hatuitaji majengo ya chama sio tunataka chama kiyasemee yale. yanayowahusu wananchi,kazi wanazofanya wabunge wa chadema wakiwa bungeni ni zaidi ya kuwa na hizo office,chadema ina jengwa mioyoni mwa watu hata ofisi ikiwa chini ya mti poa 2
Kuna Mambo yanatia aibu na kufanya Watu tuamini kua ufipa Pale wengi ni akili kuambiwa
Chama cha Chadema toka kimeanzishwa na ukubwa Wake wote Ila jengo lao la Makao Makuu linashindwa thaman na jengo la shish food
Chadema wamekua waumin wa kupiga kelele kua nchi toka ccm imeshika madaraka nchi haijaendelea Ila wanasahau kua wao Ofis hata ya million mia 3 imewashinda
Chadema Badiliken ni aibu kushindwa kimaendeleo na Chauma na ACT
Hata hayawani anaweza kubaini upuuzi hui kwa sekundr chache saaana!Ila mnaruhusu hiki, au?View attachment 1573871