Niliona kwakuwa ni wiki yake ya kwanza pale labda ningeweza kumuokoa mapema.pole sana uporoto......hukujua kama kunguru hafugikagi eeh
Inauma kwasababu kwa wiki mbili nilikuwa namtumia hela ya nauli/matumizi na ananiambia anaendelea na masomo.duuuhh Uporoto kumbe unarohoo nzuri hivyo..
Mungu atakuongezea kwa wema ulioonyesha...
mmmhhh unajua kama alisha anza ile kazi ni ngumu sana kuacha..
kwa hiyo weye ulifanya jema
lakini halikupokelewa..
nadhani yeye kashajichagulia maisha yake yawe hivyo..
lakini ni vizuri sana ulitenda wema...
Siku ile ya pili niliona cheti chake ni kweli alimaliza form 4 mwaka jana na aliniahidi kunipeleka kwa shangazi yake anaeishinaye nikipata nafasi nikaona inawezekana kumuwahi.si wote wanaojiuza hawana wa kuwaendeleza kielimu, wengine ni biashara zao
huyo hawezi kusoma tena, tatizo alilolifanya ni kutokukweleza ukweli wake.
Inauma kwasababu kwa wiki mbili nilikuwa namtumia hela ya nauli/matumizi na ananiambia anaendelea na masomo.
Nakuja sasa hivi,asante lol! Pale chuoni wameniambia wasipomwona mpaka wiki ijayo niende watanirudishia hela yangu alionekana siku moja tu.[/QUOTE]Duuhhh pole sana mtu wangu..
Hizo pesa sahau tu dear...
lakini labda umemsaida kwa njia nyingine..
(kapata hela ya chakula , au kaenda kununua protection {condoms})
ulitenda wema ukaenda zako..
hayo mengine mwachie Mungu..
ka bado inauma sana njoo kipandee hii
nikutulize kidogo
hahahahah lol
Hili la kupotea hewani sawa anaweza kuwa ameibiwa simu lakini si kanidanganya anaendelea na masomo kumbe haendi ?Usianze kumlaumu mapema huwezi jua kakutwa na masahibu gani
Usianze kumlaumu mapema huwezi jua kakutwa na masahibu gani
Usifikiri Uporoto amemlaumu,hapana ameeleza ukweli ulivyo,mimi hapa nilipo hata nusu saa haijapita bado nilikuwa nimesimamishwa na wasichana wawili wakati natoka supermarket,wakaniomba niwanunulie sigara nikawaambia nitawapa pesa wakanunue wakaongeza,kama unataka group sex tuko tayari,nikashtuka maana nikiwatazama ni kama vile wako under 18,sasa kwa hali hiyo inamaanisha ni tabia za ajabu tu za binadamu zinazowafanya wafanye mambo hayo.Na wala hawana shida ya kusema inaweza kumsukuma kufanya mambo hayo.
umzima lakini?
Njoo basi chumbani tusalimiane vizuri........Maana jana umenikimbia...........
Usianze kumlaumu mapema huwezi jua kakutwa na masahibu gani