Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,406
Beer mbona zinaganda mkuu. Liquor ndio hazigandi
Hakuna kimiminika (liquid) ambacho hakigandi sema tu vinatofautiana freezing point
Beer mbona zinaganda mkuu. Liquor ndio hazigandi
yaani we unachekesha ,jamaa kama kafungua glosary na anataka majibuaende wapi,hili sio jukwaa la siasa,na si kila saa tuongelee siasaHii Ni physics au siasa. Mijadala kama hii ina tija gani wakuu kwa ukuzi wa jamii yetu, au ni kutafuta umaarufu wa kuongea jamvini!
Kwasababu bia ni kama siku... Hazigandi